Mgito
Senior Member
- Aug 1, 2016
- 163
- 68
Wadau habari za saa hizi, nasumbuliwa na mguu wa kulia ni miaka miwili sasa, mi driver wa magari makubwa nimekuwa nikiendesha kwa miaka karibu 30, sijawahi kupata ajali yyte mpaka sasa lakini napata maumivu makali sana kwenye mguu wa kulia, nimepiga xray hamna kitu, ila nikitumia dawa ya diclofenac napata nafuu kidogo kama siku mbili halafu hujirudia tena, Wadau naombeni ushauri wenu, nitumie dawa gani