Maumivu ya mguu "Lumbago"

Maumivu ya mguu "Lumbago"

Mgito

Senior Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
163
Reaction score
68
Wadau habari za saa hizi, nasumbuliwa na mguu wa kulia ni miaka miwili sasa, mi driver wa magari makubwa nimekuwa nikiendesha kwa miaka karibu 30, sijawahi kupata ajali yyte mpaka sasa lakini napata maumivu makali sana kwenye mguu wa kulia, nimepiga xray hamna kitu, ila nikitumia dawa ya diclofenac napata nafuu kidogo kama siku mbili halafu hujirudia tena, Wadau naombeni ushauri wenu, nitumie dawa gani
 
Lumbargo inatokana na neno lumbar ambayo ni sehemu ya mgongo

Lumbargo Means pain in lumbar region or pain at the lower part of the back.

Ni tofauti na miguu, na kama kama umefanya Xrays hakuna shida inaeza kuwa Strain&Sprain jitahidi uwe unakanda mguu na barafu
 
Nashukuru Mkuu kwa ushauri wako, ila maumivu ninayoyapata ni mgongo na huu mfupa wa paja juu ulipoishia (ball joint) yaani nikitembea kidogo huanza kuuma na mguu unakuwa mzito hata kuunyanyua inakuwa ngumu
 
Lumbargo inatokana na neno lumbar ambayo ni sehemu ya mgongo

Lumbargo Means pain in lumbar region or pain at the lower part of the back.

Ni tofauti na miguu, na kama kama umefanya Xrays hakuna shida inaeza kuwa Strain&Sprain jitahidi uwe unakanda mguu na barafu
Nashukuru Mkuu kwa ushauri wako, maumivu ninayoyapata zaidi ni kwenye ball joint na misuli pia inavuta sana
 
Wadau habari za saa hizi, nasumbuliwa na mguu wa kulia ni miaka miwili sasa, mi driver wa magari makubwa nimekuwa nikiendesha kwa miaka karibu 30, sijawahi kupata ajali yyte mpaka sasa lakini napata maumivu makali sana kwenye mguu wa kulia, nimepiga xray hamna kitu, ila nikitumia dawa ya diclofenac napata nafuu kidogo kama siku mbili halafu hujirudia tena, Wadau naombeni ushauri wenu, nitumie dawa gani
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom