Maumivu ya mwili na usingizi wa kil mara nidalili ya ukimwi?

Maumivu ya mwili na usingizi wa kil mara nidalili ya ukimwi?

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
10,677
Reaction score
11,768
Nawasalimu ndugu zangu (ktk utaifa) mabibi na mabwana. Ndugu yenu nina tatizo tajwa hapo juu. Takriban wiki moja sasa najihisi maumivu ya mwili hasa mgongo pamoja na mabega. Chingine ni usingizi hasa mida ya mchana huwa nasınzia kupita kiasi mpaka napatwa na wasiwasi. Nimejaribu kuulizia kwa watu lakini majibu yao hayani ridhishi, wapo wanaoniambia nikapime HIV nawengine wanahoji wenda mke wangu ana mimba. Ndio maana nikaona nivyema suala hili nililete hapa meza ya muuguzi wenda nika pata undani wa jambo hili. Je ni dalili za mwanzo za muathirika wa ukimwi? NB. Niko serius kabisa, kwahiyo sitaraji ushauri wa kijiweni, ukijiona huna ushauri ni vyema ukapita tu kama hukuiona hii topic vilee! Ahsanteni waheshimiwa.
 
kwani aliyekuambia kusinzia na mwili kuuma ni dalili za hiv ni nani? hivi unakunywa maji ya kutosha kweli.
na kwanini unaogopa kwenda kupima afya yako?
japo mimi siyo daktari ila ninakushauri ukapime afya kwanza.
 
Naona umuone doctor , na maamini huo ni uchovu wa kazi za kila siku , jaribu kupata muda wa kutembelea maeneo tulivu na yenye hewa safi , na inawezekana upati muda wa kutosha kupumzika
 
Mkuu humu ndani tutakupa ushauri wa maneno na kila mtu atasema anachojua yeye but ukweli utaupata kwa madaktari hospital baada ya kufanyiwa vipimo.
 
kwani aliyekuambia kusinzia na mwili kuuma ni dalili za hiv ni nani? hivi unakunywa maji ya kutosha kweli.
na kwanini unaogopa kwenda kupima afya yako?
japo mimi siyo daktari ila ninakushauri ukapime afya kwanza.
naogopa
 
Back
Top Bottom