Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Nawasalimu ndugu zangu (ktk utaifa) mabibi na mabwana. Ndugu yenu nina tatizo tajwa hapo juu. Takriban wiki moja sasa najihisi maumivu ya mwili hasa mgongo pamoja na mabega. Chingine ni usingizi hasa mida ya mchana huwa nasınzia kupita kiasi mpaka napatwa na wasiwasi. Nimejaribu kuulizia kwa watu lakini majibu yao hayani ridhishi, wapo wanaoniambia nikapime HIV nawengine wanahoji wenda mke wangu ana mimba. Ndio maana nikaona nivyema suala hili nililete hapa meza ya muuguzi wenda nika pata undani wa jambo hili. Je ni dalili za mwanzo za muathirika wa ukimwi? NB. Niko serius kabisa, kwahiyo sitaraji ushauri wa kijiweni, ukijiona huna ushauri ni vyema ukapita tu kama hukuiona hii topic vilee! Ahsanteni waheshimiwa.