Maumivu ya tumbo chini ya kitovu after sex

Maumivu ya tumbo chini ya kitovu after sex

STI ni sexually transmitted infection.
Unanitishaaa ujueee....lakini ndo iwe kwa wote??....ila hata kama ingekua ni hivyo basi ningeshaumwa maana tangu nimeanza kumjua mwanamke ni muda mrefu sasa
 
duh,huyu jamaa mbona hamkumwambia aende Muhumbili hosp kwa daktari wa kina Mama akampatia ushauri!
 
Don't disturb tha peace....ukipita pita vizuri kaka

ni ushauri pia, sio lazima kila mtu akuambie kuwa una inch 6, sijui hawaridhishi, mara cjui nn!

Unaweza enda hosp kwa daktari wa kinamama akakupatia ushauri!

Otherwise, umri wako na ulichoandika na kukoment kwenye ushauri wangu vinafanana na wewe, coz kuna aina ya majibu ulitaka kusikia tu, ukue sasa!
 
Aya mkuu...hivi mtu akinabia kuwa nna inch 6 naongezeka nini??....huko kujua kwingi....mi nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia thread hii na wala sikuwa kimzaha kama unavyonifikiria
 
Back
Top Bottom