Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't disturb tha peace....ukipita pita vizuri kaka
ni ushauri pia, sio lazima kila mtu akuambie kuwa una inch 6, sijui hawaridhishi, mara cjui nn!
Unaweza enda hosp kwa daktari wa kinamama akakupatia ushauri!
Otherwise, umri wako na ulichoandika na kukoment kwenye ushauri wangu vinafanana na wewe, coz kuna aina ya majibu ulitaka kusikia tu, ukue sasa!