Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na mahusiano nje, sijawahi kumlala tena, huu ni mwezi wa kumi sasa. Ilibidi yeye ajishtaki kwao na kwetu kwa makosa yake.
Mimi ni mkimya sana, ni wa wale watu wa "sawa," "poa," "hapana." Sikubali. Tukaishi hivyo sana. Nikikumbuka alichonifanyia; kumtafutia kazi na akatembea na bosi wake. Fikiria, miaka 12 ya ndoa, mama wa nyumbani, unamhudumia kila kitu, unamtafutia kazi miezi mitatu, anakusaliti! Mimi sio muongeaji sana.
Nilibeba vilivyo vyangu nikaenda kuanza maisha mapya, nikamuachia nyumba. Yule bosi akamuacha. Ila, wanawake nyie! Akarudi analia. Akaenda kwao, nikaitwa, nikaombwa msamaha ambao hata sijashitaki. Nikawaambia tu, sijui kosa lake. Ila, turudi nyumbani. Akakataa mpaka kaka yangu au mama yangu aje ndio niondoke naye. Alijua baba alifariki nikiwa Form 2. Kama kumbukumbu zipo sawa, ilikuwa mechi ya Argentina na Nigeria 2002, mwezi wa 7.
Binti ambaye alikuwa demu wangu wa kwanza mwaka 2001, nikaja kufunga naye ndoa mwaka 2015. Alijuta sana. Yupo nyumbani kwetu (nyumba niliyojenga na kumuachia yeye na watoto). Wanawake nyie! Hii ni life experience. Mnatuonea sana wanaume. Wanaume tunazini kwa tamaa, mwanamke anazini kwa hisia. Mwanamke akishafanywa nje ya wewe, sio wako. Nasimamia hapo.
Wanawake! Hii ni hali halisi.
Pia soma: Nimemwachia mali zote, naanza upya