Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

Mawazo ni mengisana mpaka anapoteza kumbukumbu msamehe bure tu, Mkeo kufirwa na boss wake inaumiza sana Wewe sikia tu kwa wengine siku ukigundua Mkeo anafirwa na boss wake ndio utaelewa inauma kiasi gani yaan wewe haumfiri Ila boss wake anamfira inauma kiasi gani?

Hiyo ya kumfira mkewe sikuiona popote, nimeona boss katembea na mkewe tu. Nilichoshangaa ni ndoa iliyofungwa 2015 kuwa ya miaka 12, wakati hadi Leo 2024 ni miaka 9 tu. Na post yake ya 2022 alidai ndoa haina hata mwaka..???
 
Nimeshutuka hadi sehem zangu za uzazi zimetikisika...☹️
 
Asante uliyeongeza Uzi wangu kuhusu hili... Sidanganyi... Nilimpenda sana huyu mwanamke...tunalea watoto tu ... As time goes on... Namuona ni mtu wa majuto sana ... Na Mimi nimesha move ...nimehamishiwa Wilaya jirani lakini ndani ya Mkoa huuhuu wa Mwanza. Hivyo narudigi weekend's..nacheza na watoto na yeye nampa vizawadi ..ila unamuna kabisa "ANATAKA"..... TUPUNGUZE TAMAAA..WOTE WAKE KWA WAUME....
Utakuja kumla halafu mtarudiana. Tena kanda ya ziwa watu wanavyopenda kushika dawa subiri apate shosti kutoka Sengerema kwa kina The Mongolian Savage
 
Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na mahusiano nje, sijawahi kumlala tena, huu ni mwezi wa kumi sasa. Ilibidi yeye ajishtaki kwao na kwetu kwa makosa yake.

Mimi ni mkimya sana, ni wa wale watu wa "sawa," "poa," "hapana." Sikubali. Tukaishi hivyo sana. Nikikumbuka alichonifanyia; kumtafutia kazi na akatembea na bosi wake. Fikiria, miaka 12 ya ndoa, mama wa nyumbani, unamhudumia kila kitu, unamtafutia kazi miezi mitatu, anakusaliti! Mimi sio muongeaji sana.

Nilibeba vilivyo vyangu nikaenda kuanza maisha mapya, nikamuachia nyumba. Yule bosi akamuacha. Ila, wanawake nyie! Akarudi analia. Akaenda kwao, nikaitwa, nikaombwa msamaha ambao hata sijashitaki. Nikawaambia tu, sijui kosa lake. Ila, turudi nyumbani. Akakataa mpaka kaka yangu au mama yangu aje ndio niondoke naye. Alijua baba alifariki nikiwa Form 2. Kama kumbukumbu zipo sawa, ilikuwa mechi ya Argentina na Nigeria 2002, mwezi wa 7.

Binti ambaye alikuwa demu wangu wa kwanza mwaka 2001, nikaja kufunga naye ndoa mwaka 2015. Alijuta sana. Yupo nyumbani kwetu (nyumba niliyojenga na kumuachia yeye na watoto). Wanawake nyie! Hii ni life experience. Mnatuonea sana wanaume. Wanaume tunazini kwa tamaa, mwanamke anazini kwa hisia. Mwanamke akishafanywa nje ya wewe, sio wako. Nasimamia hapo.

Wanawake! Hii ni hali halisi.

Pia soma: Nimemwachia mali zote, naanza upya
Hujamkuta bikra lakin usisahau
 
Asante uliyeongeza Uzi wangu kuhusu hili... Sidanganyi... Nilimpenda sana huyu mwanamke...tunalea watoto tu ... As time goes on... Namuona ni mtu wa majuto sana ... Na Mimi nimesha move ...nimehamishiwa Wilaya jirani lakini ndani ya Mkoa huuhuu wa Mwanza. Hivyo narudigi weekend's..nacheza na watoto na yeye nampa vizawadi ..ila unamuna kabisa "ANATAKA"..... TUPUNGUZE TAMAAA..WOTE WAKE KWA WAUME....
Unaonekana utarudi kulekule tuu
 
Zamani wanawake ndiyo walikuwa wakikimbia Miji siku hizi Wanaume ndiyo wanakimbia miji.
Wanawake sio watu wa kuwadhilia Mali kubwa kubwa.
Muungwana akidhiliwa ujitafakari ila hayawani analia outward ila inwardly anafurahi kichizi.
Muondoe hapo nyumbani kwako,watoto baki nao wewe.
 
Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na mahusiano nje, sijawahi kumlala tena, huu ni mwezi wa kumi sasa. Ilibidi yeye ajishtaki kwao na kwetu kwa makosa yake.

Mimi ni mkimya sana, ni wa wale watu wa "sawa," "poa," "hapana." Sikubali. Tukaishi hivyo sana. Nikikumbuka alichonifanyia; kumtafutia kazi na akatembea na bosi wake. Fikiria, miaka 12 ya ndoa, mama wa nyumbani, unamhudumia kila kitu, unamtafutia kazi miezi mitatu, anakusaliti! Mimi sio muongeaji sana.

Nilibeba vilivyo vyangu nikaenda kuanza maisha mapya, nikamuachia nyumba. Yule bosi akamuacha. Ila, wanawake nyie! Akarudi analia. Akaenda kwao, nikaitwa, nikaombwa msamaha ambao hata sijashitaki. Nikawaambia tu, sijui kosa lake. Ila, turudi nyumbani. Akakataa mpaka kaka yangu au mama yangu aje ndio niondoke naye. Alijua baba alifariki nikiwa Form 2. Kama kumbukumbu zipo sawa, ilikuwa mechi ya Argentina na Nigeria 2002, mwezi wa 7.

Binti ambaye alikuwa demu wangu wa kwanza mwaka 2001, nikaja kufunga naye ndoa mwaka 2015. Alijuta sana. Yupo nyumbani kwetu (nyumba niliyojenga na kumuachia yeye na watoto). Wanawake nyie! Hii ni life experience. Mnatuonea sana wanaume. Wanaume tunazini kwa tamaa, mwanamke anazini kwa hisia. Mwanamke akishafanywa nje ya wewe, sio wako. Nasimamia hapo.

Wanawake! Hii ni hali halisi.

Pia soma: Nimemwachia mali zote, naanza upya
Pole sana ifike hatua jinsia zote ziyatambue maumivu ya usaliti usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine

Moyo wa kike na kiumeni vyote vimeumbwa na ego
 
🤣🤣🤣 Idiot weak man
 
Back
Top Bottom