Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

Hiyo ya kumfira mkewe sikuiona popote, nimeona boss katembea na mkewe tu. Nilichoshangaa ni ndoa iliyofungwa 2015 kuwa ya miaka 12, wakati hadi Leo 2024 ni miaka 9 tu. Na post yake ya 2022 alidai ndoa haina hata mwaka..???
 
Nimeshutuka hadi sehem zangu za uzazi zimetikisika...☹️
 
Utakuja kumla halafu mtarudiana. Tena kanda ya ziwa watu wanavyopenda kushika dawa subiri apate shosti kutoka Sengerema kwa kina The Mongolian Savage
 
Hujamkuta bikra lakin usisahau
 
Unaonekana utarudi kulekule tuu
 
Nimeshutuka hadi sehem zangu za uzazi zimetikisika...☹️


Kweli ng'ombe hazeeki maini...πŸ€ͺπŸ€ͺπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ.
 
Kweli ng'ombe hazeeki maini...πŸ€ͺπŸ€ͺπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ.
Ila hua anazeeka nini bandama au kongosho?
 
Zamani wanawake ndiyo walikuwa wakikimbia Miji siku hizi Wanaume ndiyo wanakimbia miji.
Wanawake sio watu wa kuwadhilia Mali kubwa kubwa.
Muungwana akidhiliwa ujitafakari ila hayawani analia outward ila inwardly anafurahi kichizi.
Muondoe hapo nyumbani kwako,watoto baki nao wewe.
 
Pole sana ifike hatua jinsia zote ziyatambue maumivu ya usaliti usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine

Moyo wa kike na kiumeni vyote vimeumbwa na ego
 
🀣🀣🀣 Idiot weak man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…