Maumivu ya uume na tumbo chini ya kitovu wakati wa haja ndogo

Maumivu ya uume na tumbo chini ya kitovu wakati wa haja ndogo

Aise kaka wahi hospital mapema hyo ni UTI nenda kapime mkojo. Mimi ilinikuta hivyo nikachelewa iliniuma kwel nikakuta ni uti
Nawashukuru sana jamani kwa ushauri wenu. Yani naumia sana basi tu.
 
Iweje nipate zinaa na mapenzi bado sijayaanza?
Dogo njia rahisi kabla ya kuingia jamiiforums ulipaswa utoe taarifa kwa bi mkubwa akupeleke hospitali ukafanyiwe uchunguzi ili ufumbuzi wa tatizo lako upatikane....kutupia nyuzi huku jukwaani ni uamuzi wa kuendelea kuvumilia maumivu na kuwaongezea maisha tu hao bakteria wanaokusumbua....Pole sana maana wakubwa huku wataishia kukuambia hilo ni treni umelivaa kazi kwako.
 
UTI sugu hiyo, ukifanya mchezo utaanza kojoa damu ss hv
 
Back
Top Bottom