- Thread starter
- #21
Nawashukuru sana jamani kwa ushauri wenu. Yani naumia sana basi tu.Aise kaka wahi hospital mapema hyo ni UTI nenda kapime mkojo. Mimi ilinikuta hivyo nikachelewa iliniuma kwel nikakuta ni uti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashukuru sana jamani kwa ushauri wenu. Yani naumia sana basi tu.Aise kaka wahi hospital mapema hyo ni UTI nenda kapime mkojo. Mimi ilinikuta hivyo nikachelewa iliniuma kwel nikakuta ni uti
Dogo njia rahisi kabla ya kuingia jamiiforums ulipaswa utoe taarifa kwa bi mkubwa akupeleke hospitali ukafanyiwe uchunguzi ili ufumbuzi wa tatizo lako upatikane....kutupia nyuzi huku jukwaani ni uamuzi wa kuendelea kuvumilia maumivu na kuwaongezea maisha tu hao bakteria wanaokusumbua....Pole sana maana wakubwa huku wataishia kukuambia hilo ni treni umelivaa kazi kwako.Iweje nipate zinaa na mapenzi bado sijayaanza?
una miaka mingapi?? kwahiyo papuchi huijui unaishia kuangalia za watt wakiogeshwa tu???? watu mna raha sana.Mapenzi sjawai fanya mkuu. Sasa nimeambukizwaje?
hahahahahahahah dogo bado mtotouna miaka mingapi?? kwahiyo papuchi huijui unaishia kuangalia za watt wakiogeshwa tu???? watu mna raha sana.
Mademu wa skuiz hawajui kuosha nyapu vzur asee ukizama mzimaa mzima unaloo hali imebadlka yan....UTI sugu hiyo, ukifanya mchezo utaanza kojoa damu ss hv
Una umri gani dogo?Mapenzi sjawai fanya mkuu. Sasa nimeambukizwaje?