binty mzazi
Member
- Jun 27, 2014
- 33
- 8
Habarini zenu. Naomba kujuzwa mtu anaeumwa sana viungo hasa joints za mikono, magoti na miguu, mgongo, kiuno na kichwa, kuna shida gani hapo? ni kuchoka sana stress au tatizo jengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini zenu. Naomba kujuzwa mtu anaeumwa sana viungo hasa joints za mikono, magoti na miguu, mgongo, kiuno na kichwa, kuna shida gani hapo? ni kuchoka sana stress au tatizo jengine?

unaweka mdalasini kias gan ktk hayo maji
Kaka nimeku DM unaweza kucheki au hapa pia naomba mawasiliano yako kuna vitu unaweza nishaurimkuu achana na hizo habari za mdalasi wa mzizi mkavu...nenda hospitali inaweza ikawa ni rhematic fever baadae ikaja kukuletea complications za kwenye moyo, rhematic fever hua ina present na polyathrits (kuumwa na viungo tofauti tofauti), jaribu kwenda hospital mkuu huo ndo ushaurii wangu