Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Aisee usijichanganye kununua Any European cars Kama hela zenyewe nazo za kuunga. Nilinunua kwa madalali pale Biafra BMW X3 mwaka 2021. Mpaka Leo ukiacha service ya kawaida nimetumia takribani 8m ku-maintain, mara oil leakage sijui Umeme sijui nn yaan ujinga mwingi. Nilitaka niiuze ikamfie mluga luga mkoani huko gari haiuziki, Nani anataka msala?