Gfav
JF-Expert Member
- Oct 7, 2022
- 378
- 669
Manuals mimi ninazo na ninazitumia mara nyingi sana nikiwa nafanya repairs za magari. Sijui kwa mafundi wengine siwezi kuwasemea.
Hapo hakukuwa na kipimo zaidi ya kukariri ambako kumezoeleka kwamba misi kwenye gari inasababishwa na pump, plugs and the likes.
Bado narudia gari ya kijerumani ni rahisi kufix kuliko ya kijapani. Kama hujapata shida kwenye gari ya kijapani ambayo ilikusumbua kwa muda mrefu huwezi kuelewa ninachosema.
I assure you, kama nikiweka mzani asilimia ya gari za europe nilizofix na nilizofeli vs asilimia ya gari za japan nilizofix na nilizofeli.
Asilimia ya Gari za Europe nilizofix iko juu (Tena matatizo yaliyoshindikana). Maana anakuwa ameshazunguka nalo na halijapona so kilichobaki ni either kulipaki ndani au kujaribu mafundi.
All the best