Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Amesema amenunua mkononi kwa mtu hapa Tz mwaka 2021.
Screenshot_2022-11-21-05-59-19-619_com.android.chrome.jpg


Mimi nilimquote mwanzo kabisa the moment amepost uzi. Angalia alichokuwa ameandika hapo, Aliandika aliagiza na siyo kununua kwa madalali kama alivobadiliaha sasa.

Mleta maada hayupo serious.
 
Simply wewe kaendeshe Toyota Allex au Runx ukitoka hapo ingia kwenye VW Golf.

Kama usipoona utofauti basi kuna tatizo mahali.
Mkuu hilo sio swali nililokua nimeuliza.

Mdau alisema utamu wa gari za ulaya uwe na gari nyingine pembeni ndio utafaidi utamu wake, ndio nikauliza utanu gani kama inataka ilelewe kama yai?

Utofauti mwingine wa haya magari naujua.

Ahsante.
 
Kuna gari namba C na zipo njema kuliko namba E.

Suala ni utunzaji na kupenda kitu chako.

Mwingine kununua kitu chochote OG ni kawaida achilia mbali spare parts.
Ni kweli kabisa, gari ni utunzaji.
Mimi nina la Reg A, nimelilamba kwa rangi, tairi mpya na viti hadi kila anaeliona anafikiri ni forgery.
 
Hawa walio jificha humu, hii habari wanayo!!?

CLICK HAPO

Wajerumani na wajapani wa tuangoma, kwa mabonge, tandahimba, mbinga, mrenyi, mabogini mpo!!? CLICK HAPO
giphy.gif
giphy.gif
 
Hata saa kuna Rado na Casio chaguo ni lako
Mimi na familia ni mwendo wa Europe cars tu
Japanese cars nilipokuwa kijana nilikuwa na Skyline GT, Mazda rx7, starion, supra, Nissan 280 na 350z nilikuwa nabadili tu ila sasa uzee huooo
Moja yangu ya kizee na inakunywa wese balaa mengine ya watoto na Mrs View attachment 2422560
[emoji55][emoji55][emoji765]
 
Hawa walio jificha humu, hii habari wanayo!!?


Wajerumani na wajapani wa tuangoma, kwa mabonge, tandahimba, mbinga, mrenyi, mabogini mpo!!?
giphy.gif
giphy.gif
Toyota Hilux ni kiboko, hata Waingereza katika kipindi cha Top Gear walikubali, its literally indestructible.
Ukiona hata magaidi wanatumia Toyota Hilux basi hii gari ni all weather.
 
Toyota Hilux ni kiboko, hata Waingereza katika kipindi cha Top Gear walikubali, its literally indestructible.
Ukiona hata magaidi wanatumia Toyota Hilux basi hii gari ni all weather.
America wamesha lalamika sana kuhusu hizi gari! Makundi yoooote ya kigaidi kuanzia al_kaida, isis na wengine woote wanatumia hizi gari na landcruiser hardtop wakidai nani anao wafadhili!!? Alafu wao wanakuja na vifaru na ndege na bado wanatoa jasho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] toyota nyoko sana, alafu unakuta vyuma vyote vipo kwenye order
 
Tatizo kubwa Mkuu watz wengi hatujui magari yanataka nini. Hata hizo Toyota wanazosema ni rahisi kuzimudu siyo kweli, nyingi ni mbovu na zinatengenezwa na mafundi wababaishaji. Urahisi wa upatikanaji wa Spares fake sio urahisi wa kumiliki gari. Utofauti wa bei ya Genuine Spare Parts mpya ya Toyota na European Cars ni mdogo sana na sio kama watu wanavyodanganyana humu. Spare Parts nyingi za Toyota wanazosema ni cheap ni used siyo mpya!
Waambie waulizie shock up za harrier 2nd gen mpya sio used waje na majibu
 
Siku ingine utajifunza kutonunua gari kwa madalali huwa awakwambii ukweli Ili likufie.
 
Back
Top Bottom