Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Mjapani anatusaidia sisi walala hoi kwa kweli,gari unapitisha service km 2000 ngoma bado inadunda tu,Engine oil unajiwekea tu unayotaka hakuna cha mashine kugoma wala nini,fanya ujinga huu kwenye magari ya Europe ndio utajua kuwa pombe sio chai...
 
European cars ni ugonjwa wa moyo.
Iwe Range Rover, BMW au yoyote ile.
Nunua magari ya kijapan, hutasikitika na spares ziko bwerere.
European car siyo tatizo, ni mafundi wengi hawana uwezo ku identify matatizo halisi. Matokeo yake shida ya kawaida mtu anabomoa gari Zima.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hizi gari zetu laiti zingekuwa na sensor kama European cars wengi tungekuwa tunapaki Tu na ishu kubwa inakuja pale gari inapoleta shida ukienda Kwa fundi unaweza kubadilisha spare zaidi ya 5 kumbe tatizo lipo sehemu nyingine kitu ambacho Kwa magari ya ulaya tatizo lingejulikana moja Kwa moja.

Wabongo sisi tunashindwa Tu kupiga hesabu vizuri ukiangalia huku kwenye Toyota huwa tunatumia pesa nyingi kutibu tatizo dogo Sana tena sometimes unaweza kwenda Kwa mafundi zaidi ya tano na Huko kote unapita kuachia pesa
Kwa style hii acha niendelee kuwa mshamba tu.

Toyota: Diagnosis 30K, Service and parts Tsh.200,000 (Ilala, Tandale, Sinza, Kimara,Temeke)

European: Diagnosis 150K, Service and parts 1,500,000 (Mnazi mmoja, Order online from UK, Kenya, South Africa)

Na ndio maana hizi gari zinaonekana sana daraja la Tanzanite na maeneo ya mbele mbele kule mwambao wa bahari ya hindi maana wanaoziweza wako kule.
 
Daaaaa we jamaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Next time nunua gari unayoimudu

20211109_075803.jpg
 
Mjapani anatusaidia sisi walala hoi kwa kweli,gari unapitisha service km 2000 ngoma bado inadunda tu,Engine oil unajiwekea tu unayotaka hakuna cha mashine kugoma wala nini,fanya ujinga huu kwenye magari ya Europe ndio utajua kuwa pombe sio chai...
Sasa mbona BMW ukifanya service inakupa +3,000 km! Na hii ni kwa gari zote za German.
 
Aisee usijichanganye kununua Any European cars Kama hela zenyewe nazo za kuunga. Nilinunua kwa madalali pale Biafra BMW X3 mwaka 2021. Mpaka Leo ukiacha service ya kawaida nimetumia takribani 8m ku-maintain, mara oil leakage sijui Umeme sijui nn yaan ujinga mwingi. Nilitaka niiuze ikamfie mluga luga mkoani huko gari haiuziki, Nani anataka msala?

Niuzie mkuu. Nikupe pesa ngap?
 
Usidanganye watu kifaa cha gari kikiharibika nunua kipya funga ww unaleta ukanjanja unachongesha vifaa alaf unanunua gari mkononi unatarajia nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaskini wako usifanye watu waone gari za euro ni mbaya peleka ujinga na umaskini huko
 
Aaf nilichojifunza maskini wanakua na majungu lawama na kupotosha sana mbona hizo gari mafogo wanatembelea wakizishindwa wanapaki mijusi nayo inapata sehemu ya kutolea magamba yao ww gharama kidogo za ukanjanja unalalamika kufa bad tukuzike nalo
 
Usidanganye watu kifaa cha gari kikiharibika nunua kipya funga ww unaleta ukanjanja unachongesha vifaa alaf unanunua gari mkononi unatarajia nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaskini wako usifanye watu waone gari za euro ni mbaya peleka ujinga na umaskini huko
Sawa Dada
 
Back
Top Bottom