Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Huna unachojua
Sija kupata hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sija kupata hapa.
Hatari na nusuHuna unachojua
Hakuna spea original ya bei rahisi hata kama ni spare ya Passo. Hilo likukae kichwani.vipi hizo gari ulizotaja tukiziweka na discovery, vw au range hizo spare zake utagusa?
lazima ujuteHakuna spea original ya bei rahisi hata kama ni spare ya Passo. Hilo likukae kichwani.
Kuna Jamaa alikuja na LS460 ina Engine ya 1UR (The same engine inafunga kwenye LC200, Crown Majesta, GS460 n.k.) tukafanya diagnosis ikaleta code p0022 Camshaft Position A timing Over Retarded Bank 2.,
Sasa DTC kama hiyo ya p0022 ikija kwenye ISt, Passo, Harrier and the likes huwa mara nyingi ni issue inahusiana na VVT solenoid (Dirty Oil, Debris kwenye Oil lines, spring ya VVT solenoid ndo ishachoka, VVT solenoid ina resistance kubwa n.k.).
Lakini kwenye hiyo gari it was a different story.
Kwa sababu hiyo engine ni V8 tukaswap VVT solenoid lakini wapi tatizo liko pale pale. Kuja kufuatilia, kumbe 1UR ina separate VVT actuator ambayo wanaiita VVTi-E Motor
Ni kidubwasha kama hiki👇🏾kinakuwa hapa mbele kwenye cylinder head ya 1ur fse kwenye kila upande.
View attachment 2423753
Sasa uliza Bei ya hiyo VVTi-E motor ya 1UR.
Jamaa ilibidi aliagiza mtumba Dubai kwa Milioni maana bei yake mjini ilikuwa haishikiki.
Halafu guess what, Hiyo gari ilikuwa na mwezi mmoja tu toka ameiagiza Japan.
hahaha umeshindwa kujielezea vitu mbavyo vipo wazitu.Huna unachojua
huna unacho jua kaa pembeni.nitajie bei yanozel ya discover hata3tu halafu ulinganishe naya land cruezer new model
Anadhani Nozzle ya 1VD ni 20k. Jamaa hayupo serious.Huna unachojua
sasa mkuu Ford sigari yakawaida tu hio. huwezi kifananisha na cruezer new model. Kuna gari zagarama mfano range huwezi kifananisha na hizo gari ulizo taja.Wewe jamaa wewe haupo serious. Kwahiyo Nozzle ya LC200 1VD unadhani iyakuwa inauzwa 20k hivi au 50k hivi au 200k hivi. Haupo serious kabisa.
Kwa kukudokeza tu, Mtumba wa nozzle moja ya 1VD FTV siyo chini ya 1m. Engine ina Nozzle 8.
Tofauti yake huyo na anayemiliki ford ranger na anyemiliki SDV6 ni nini?
Unaongea vitu ambavyo huvijui kabisa.
Wameshadanganyana vijiwe vya kahawaAnadhani Nozzle ya 1VD ni 20k. Jamaa hayupo serious.
hahahaha we ulidanganywa kwenye kijiwe chanini kuhusu magari? Mana nazani hata model zamagari nagarama zake hujui.Wameshadanganyana vijiwe vya kahawa
Noma sanaHakuna spea original ya bei rahisi hata kama ni spare ya Passo. Hilo likukae kichwani.
Kuna Jamaa alikuja na LS460 ina Engine ya 1UR (The same engine inafunga kwenye LC200, Crown Majesta, GS460 n.k.) tukafanya diagnosis ikaleta code p0022 Camshaft Position A timing Over Retarded Bank 2.,
Sasa DTC kama hiyo ya p0022 ikija kwenye ISt, Passo, Harrier and the likes huwa mara nyingi ni issue inahusiana na VVT solenoid (Dirty Oil, Debris kwenye Oil lines, spring ya VVT solenoid ndo ishachoka, VVT solenoid ina resistance kubwa n.k.).
Lakini kwenye hiyo gari it was a different story.
Kwa sababu hiyo engine ni V8 tukaswap VVT solenoid lakini wapi tatizo liko pale pale. Kuja kufuatilia, kumbe 1UR ina separate VVT actuator ambayo wanaiita VVTi-E Motor
Ni kidubwasha kama hiki[emoji1484]kinakuwa hapa mbele kwenye cylinder head ya 1ur fse kwenye kila upande.
View attachment 2423753
Sasa uliza Bei ya hiyo VVTi-E motor ya 1UR.
Jamaa ilibidi aliagiza mtumba Dubai kwa Milioni maana bei yake mjini ilikuwa haishikiki.
Halafu guess what, Hiyo gari ilikuwa na mwezi mmoja tu toka ameiagiza Japan.
Hakuna gari ya bei rahisi hapo mzee. Sijui hata unaongea nini.sasa mkuu Ford sigari yakawaida tu hio. huwezi kifananisha na cruezer new model. Kuna gari zagarama mfano range huwezi kifananisha na hizo gari ulizo taja.
Mkuu porojo nyingi acha. Ebana mkuu mimi nasubiri hadi Bitcoin ifike 10K USD ninunue za kutosha. Wee endelea kuwekeza tu hoko kwenye mihogo (casava) commodities.Tatizo kubwa Mkuu watz wengi hatujui magari yanataka nini. Hata hizo Toyota wanazosema ni rahisi kuzimudu siyo kweli, nyingi ni mbovu na zinatengenezwa na mafundi wababaishaji. Urahisi wa upatikanaji wa Spares fake sio urahisi wa kumiliki gari. Utofauti wa bei ya Genuine Spare Parts mpya ya Toyota na European Cars ni mdogo sana na sio kama watu wanavyodanganyana humu. Spare Parts nyingi za Toyota wanazosema ni cheap ni used siyo mpya!
Kwa hio wewe kazi yako Ni kujua model na gharama zake😁 tutafika tumechoka sanahahahaha we ulidanganywa kwenye kijiwe chanini kuhusu magari? Mana nazani hata model zamagari nagarama zake hujui.
hahahahaKwa hio wewe kazi yako Ni kujua model na gharama zake😁 tutafika tumechoka sana
Gari zikiwa kwenye class 1 ni ngumu sana spare parts zikatofautiana kwa kiasi kikubwa.vipi hizo gari ulizotaja tukiziweka na discovery, vw au range hizo spare zake utagusa?
Watu wanajazana ujinga na story za vijiweni wakati uhalisia hawaujui.Hakuna spea original ya bei rahisi hata kama ni spare ya Passo. Hilo likukae kichwani.
Kuna Jamaa alikuja na LS460 ina Engine ya 1UR (The same engine inafunga kwenye LC200, Crown Majesta, GS460 n.k.) tukafanya diagnosis ikaleta code p0022 Camshaft Position A timing Over Retarded Bank 2.,
Sasa DTC kama hiyo ya p0022 ikija kwenye ISt, Passo, Harrier and the likes huwa mara nyingi ni issue inahusiana na VVT solenoid (Dirty Oil, Debris kwenye Oil lines, spring ya VVT solenoid ndo ishachoka, VVT solenoid ina resistance kubwa n.k.).
Lakini kwenye hiyo gari it was a different story.
Kwa sababu hiyo engine ni V8 tukaswap VVT solenoid lakini wapi tatizo liko pale pale. Kuja kufuatilia, kumbe 1UR ina separate VVT actuator ambayo wanaiita VVTi-E Motor
Ni kidubwasha kama hiki[emoji1484]kinakuwa hapa mbele kwenye cylinder head ya 1ur fse kwenye kila upande.
View attachment 2423753
Sasa uliza Bei ya hiyo VVTi-E motor ya 1UR.
Jamaa ilibidi aliagiza mtumba Dubai kwa Milioni maana bei yake mjini ilikuwa haishikiki.
Halafu guess what, Hiyo gari ilikuwa na mwezi mmoja tu toka ameiagiza Japan.
Sema Hivi Usijiloge ukanunua Gari kwa Madalali wa Bongo wala Second Hand kwa Mbongo...Aisee usijichanganye kununua Any European cars Kama hela zenyewe nazo za kuunga. Nilinunua kwa madalali pale Biafra BMW X3 mwaka 2021. Mpaka Leo ukiacha service ya kawaida nimetumia takribani 8m ku-maintain, mara oil leakage sijui Umeme sijui nn yaan ujinga mwingi. Nilitaka niiuze ikamfie mluga luga gari haiuziki, Nani anataka msala?