Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Sawa.mkuu ukiingia bara barani majibu unayapata live wengi wanamiliki gari zakijapani.kwamaana hio hizo ndio gari zahali yachini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.mkuu ukiingia bara barani majibu unayapata live wengi wanamiliki gari zakijapani.kwamaana hio hizo ndio gari zahali yachini
PointWe
Kuna spare zingine lazima uweke mpya.sio kwasababu umenunua gari used ndio naspare utaweka used.
Nunua Prado au LC300 halafu nenda Toyota Tanzania kanunue spare OG ya gari yako.acha fix hizogari vitu vyake vipo juu sana. usilinganishe na gari za japani vituvyao bei ni nafuu.
Kuna gari namba C na zipo njema kuliko namba E.At least kuna spares zitakazo kupeleka miezi sita.
Hapo vile vie uelewe kuwa almost 90% ya magari ya kijapan nchini ni used.
Life span ya gari 3~5 years.
Original spares za kukaa miaka 10~15 za nini?
Kitaalamu hii tunaiitaje?Utofauti upo and ni mkubwa sana.
European wako ahead sana kwenye tech kitu ambacho hakipo kwa mjapani.
Ingawa inaweza kuwa rahisi kufix gari ya Europe hasa kwa sababu ya availbility ya resources kama manuals n.k. kitu ambacho ni kigumu kupata kwa japanese cars (Japanese cars nyingi manual zake zipo kwa kijapani au kirusi Unless upate Japanese car ambayo inauza world market mfano LC, LC Prado, Rav 4, Camry, Corolla, n.k.
Kiuhalisia wengi hawawezi afford kutunza hata hizo Passo au IST zao.Spark plug ya 1ZZ FE ukienda toyota ni Tsh. 45,000/= kwa moja, tena siyo Iridium. So, kwa zote 4 ni Tsh.180,000/=
The same spark plug ukienda ilala inacheza kati ya Tsh. 7000/= mpaka Tsh. 10,000/= Na hizi ndio mnaletewa, Maana mkiletewa original hamnunui.
Hizi spare fake zingepigwa pini wanaoendesha mijapani wangekuwa wachache sana. Na wengi gari zao zingekuwa vimeo kama ilivyo sasa tu.
Mmefika wapi na mtoto mdogo sana ! Lete mrejeshoInategemea ndg we unanunuaje gari ya mgerman mkononi kwa mtu?
Agiza mwenyewe na kwenye kuagiza usiangalie zile cheapest utalia
Me ninayo since 2018 zaid ya service haijawah nipa shida kabisa
Unajua bei ya spare OG ya LC300? Au Nissan Patrol? Au Mazda XC-5?spare zinakua naviwango vyabei kulingana na ubora.hapahapa bongo zipo feki na original.lakini kwa gari zaulaya spare zake nibei kubwa Hadi inapelekea wamiliki kununua yused. halafu Kuna gari nyingine zaulaya spare zake bongo hazopo Hadi uagize nje.
Ni rahisi kumiliki gari za Toyota za zamani ikiwa tanzania.Hizi gari zetu laiti zingekuwa na sensor kama European cars wengi tungekuwa tunapaki Tu na ishu kubwa inakuja pale gari inapoleta shida ukienda Kwa fundi unaweza kubadilisha spare zaidi ya 5 kumbe tatizo lipo sehemu nyingine kitu ambacho Kwa magari ya ulaya tatizo lingejulikana moja Kwa moja.
Wabongo sisi tunashindwa Tu kupiga hesabu vizuri ukiangalia huku kwenye Toyota huwa tunatumia pesa nyingi kutibu tatizo dogo Sana tena sometimes unaweza kwenda Kwa mafundi zaidi ya tano na Huko kote unapita kuachia pesa
Stev Nyerere anapata wapi hela ya kutunza LC 300?Ni rahisi kumiliki gari za Toyota za zamani ikiwa tanzania.
Muda wa service unapita ila bado linaendeshwa (watu wanaona hiyo ni reliability)
Kuweka spare fake aka used (watu wanaona ni convenience)
Kuwa na mafundi wengi ila wabahatishaji (nako ni convenience).
Ila gari za kisasa za Toyota zina sensor nyingi tu. Ni vile watu wengi hawana ndo maana wanaona sawa na gari zao za miaka 20 iliyopita.
Kuitunza LC200 kama huna deep pockets utakimbia ulingo.
Wewe huwa unaweka Oil used? Tyre used? Battery used? Plugs used? Wiper used? Cabin filter used? Oil filter used?Mkuu, gari yenyewe used unataka spare parts mpya za nini?
Unaniuliza mimi?Stev Nyerere anapata wapi hela ya kutunza LC 300?
Ndio yale yale baba na mama wanaweza kuzaa na kuhudumia watoto hata kumi ila hao watoto kumi kuwahudumia wazazi wa wili ni mtihani[emoji848] sijui hua inakuajeTatizo lako umekariri. Sisi wakati tunakua miaka ya 80 hapa Bongo yalikuwa yamejaa magari ya kizungu BMW, Peugeot , Renault , Opel nk. Sasa jiulize miaka ya 80 na sasa kipindi gani ilikuwa rahisi kupata Spare Parts za ulaya? Usichokifahamu ni kwamba Biashara tu imebadilika baada ya Soko la Mjapani used kushika tamu, ila European car makers wakubwa kama Landrover, Peugeot, na wengine kibao wote walikuwa na ofisi hapa Dar na mikoa yote mikubwa. Mabadiliko ya kibiashara yalikuja hadi kubadili mindset za watu juu ya magari ya Ulaya. Baba zetu walitumia magari ya Ulaya 80's kipindi hata internet hakuna na walimudu..leo hii kuna kila kitu lakini kijana wa kisasa anaogopa gari la Ulaya. its a big Joke.[emoji1787][emoji1787]
Sisi mafundi[emoji1787][emoji1787] tunaona kununua mkaa wa elfu3 kila siku ni rahisi kuliko kununua gesi ya elfu20 kwa mwezi, wakati huohuo mkaa wa elfu3 kwa siku ukipiga kwa mwezi ni elfu90 kiasi kwamba hata ukinunua gesi kg15 kwa elfu50 per month bado ni cheaper kuliko mkaa![emoji765][emoji1787][emoji1787] Upatikanaji wa pesa nao sio wa uhakika ndio unatuponzaHizi gari zetu laiti zingekuwa na sensor kama European cars wengi tungekuwa tunapaki Tu na ishu kubwa inakuja pale gari inapoleta shida ukienda Kwa fundi unaweza kubadilisha spare zaidi ya 5 kumbe tatizo lipo sehemu nyingine kitu ambacho Kwa magari ya ulaya tatizo lingejulikana moja Kwa moja.
Wabongo sisi tunashindwa Tu kupiga hesabu vizuri ukiangalia huku kwenye Toyota huwa tunatumia pesa nyingi kutibu tatizo dogo Sana tena sometimes unaweza kwenda Kwa mafundi zaidi ya tano na Huko kote unapita kuachia pesa
[emoji55][emoji55][emoji55][emoji89]NDUGU ACHA UONGO KWANI UNAPOLETA UONGO UNAPATA FAIDA GANI AU LIKES NA COMMENT'S ZIKIWA NYINGI UNALIPWA SIKU HIZI JF.
1, UNAPOSEMA MADALALI WA BIAFRA NDO WALIKUUZIA HYO BMW UNA MAANISHA NI OFISI YETU YA MACHACHU ENTERPRISES AMBAYO IKO HAPO BIAFRA NA NDO HUWA TUNAPAKI GARI ZETU HAPO UWANJANI AMBAKO NIMEFANYA KAZI KWA MIAKA 5 NA HATUJAWAHI KUINUNUA WALA KUIUZA HIYO GARI.
2,NA TOKA TUMEANZA KUUZA GARI HAKUNA GARI AMBAYO ILISHAWAHI KURUDISHWA AU KULETEWA MALALAMIKO YOYOTE REFER KWENYE THREAD YETU YA MAGARI USED TZ KAMA UTAPATA LALAMIKO LA MTEJA HATA MOJA
3, HAKUNA GARI YA JAPAN WALA EUROPEAN CARS AMBAYO ITAKUSUMBUA ENDAPO UTAKUWA UNAIFANYIA SERVICE SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI,HIVYO USIOGOPESHE WATU,UNAWEZA KUWA NA RUNEX IKAKUPASUA KICHWA HALI YA KUWA MWENYE BM X3 AKAWA ANAPETA.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nunua Prado au LC300 halafu nenda Toyota Tanzania kanunue spare OG ya gari yako.
Kaulize bei ya shockups OG za harrier tako la nyani pale Toyota Tanzania. Halafu ntakwambia bei ya shockups za BMW X3.
Utarudi na chupi mkononi.
Mjapani hapo ungekuta gari nzima kama imepigwa jekiKitaalamu hii tunaiitaje?View attachment 2422649
Hata ukiweka vipya sio OG ni after_market na vingine ukipata OG kwa bei ndogo ujue used! Kuna spare japo sio OG ila bado watu hawawezi nunua kama 555 na wenzie, wengi wanafunga FROTS mchina fambaWewe huwa unaweka Oil used? Tyre used? Battery used? Plugs used? Wiper used? Cabin filter used? Oil filter used?