Hebu tuambie ukweli uliagiza au ulinunua mkononi mwa mtu?
1. Maana DLE siyo gari ya 2021.
2. 8m? Ulinunua spea gani za bei hiyo? Hata engine na Gearbox zinaweza zisifike huko.
3. Oil leak ni matatizo ya kawaida kwenye European sababu seals ni nyingi. And seals mpya zipo zinauzwa.
4. Back then Aug 2021 niliwahi kuandika huu uzi kwamba gari za Ulaya hazitaki ubabaishaji. Hnaweza kupitia usome. Thread 'Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa'
Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa
5. Kuna mtu ana X3 ni namba DXD, zaidi ya kumaliza brush za starter na kuua washer fluid motors zote mbili hajawahi pata tatizo lingine.,
Yapo mengi ya kuandika kwa kweli.