It comes down kwenye uchumi wako mkuu.European cars ni ugonjwa wa moyo.
Iwe Range Rover, BMW au yoyote ile.
Nunua magari ya kijapan, hutasikitika na spares ziko bwerere.
ALIYEUZA GARI KWAKO MARA YA KWANZA ALISEMA HIVI.....Aisee usijichanganye kununua Any European cars Kama hela zenyewe nazo za kuunga. Nilinunua kwa madalali pale Biafra BMW X3 mwaka 2021. Mpaka Leo ukiacha service ya kawaida nimetumia takribani 8m ku-maintain, mara oil leakage sijui Umeme sijui nn yaan ujinga mwingi. Nilitaka niiuze ikamfie mluga luga mkoani huko gari haiuziki, Nani anataka msala?
Hakika ndugu yangu.ALIYEUZA GARI KWAKO MARA YA KWANZA ALISEMA HIVI.....
" HII GARI NGOJA NIMTAFUTE MLUGA LUGA MMOJA NIMSUKUMIE MSALA AKAFE NAO"
ULIPOPATIKANA WEWE MADALALI WAKAMPIGIA SIMU.
DALALI: ILE GARI YAKO BADO UNAYO?
MMILIKI: NTAIPELEKA WAPI NDUGU YANGU
NIMEAMUA NIFUGIE KUKU"
DALALI: ISAFISHE VIZURI TUNALETA MLUGA
LUGA MMOJA UMSUKUMIE.
MMILIKI: MMESHAMPANGA LAKINI?
DALALI: MI NIMEKWAMBIA HUYU HAJUI KITU.
TUNA MWACHIA MSALA.SI UNAJUA
WALUGA LUGA HUJIFANYA WAJUAJI?
NDO UKAUZIWA WEWE.
TunajivuniaAsantee