Mauridi Baraka Kitenge hivi ni kweli haya? utamshinda king Muswati?

Innobwoy,

Duh ....! Kwa hiyo......!

Atoe boliti jichoni kwake,ivi ben unanguvu kiasi gani mpaka umn'gan'ganie madam b???dah kaka unakaba kwa Wi fi????ngoja nitoke congo lazima uisome number!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa mujibu wa sheria za hiyo dini uikusudiayo mwisho wa kuoa ni wanawake wanne tu na si zaidi ya hapo, labda kama kuna mafundisho mapya yameanzishwa tofauti na niliyoyasoma mimi. Ni katika kukuweka sawa tu mkuu wala si vinginevyo.

xaxa kama mwiho ni wanne tuu huyu anatumia dini ipi mwenzenu anapigilia tuu hivyoo au mmeifanyia marekebisho ile something:mvutaji:
 
nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa anawake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. kwa maisha ya kawaida hapa tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.punuza speed uishi miaka mingi

huu ni wivu sasa!
 
xaxa kama mwiho ni wanne tuu huyu anatumia dini ipi mwenzenu anapigilia tuu hivyoo au mmeifanyia marekebisho ile something:mvutaji:

Hili swali anaweza kulijibu vizuri yeye mwenyewe Maulid, na kama inawezekana au kama yuko humu jf naomba atujibu hili swali ili kutuweka sawa kuliko kukaa kimya.
 
ikiwa ni 6 atakuwa sio katika dini anayoabudu.....
 
nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa anawake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. kwa maisha ya kawaida hapa tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.punuza speed uishi miaka mingi

sijaona kinachostua hapo.......,hivi wewe unazijua habari zinazoshtua
 
Hivi nabii ibrahim alizaa pia na kijakazi,solomon,daudi jee walikua na wake wangapi?hao si mitume wa mungu na wataenda peponi!
 
xaxa kama mwiho ni wanne tuu huyu anatumia dini ipi mwenzenu anapigilia tuu hivyoo au mmeifanyia marekebisho ile something:mvutaji:
dini ya kiislam imeruhusu mwisho wake wanne ,tuendelee kuoa mke zaid ya mmoja jaman hawa wadada ni wengi
 
hahaha kastory haka niliwahi kusimuliwa na jamaa ilakamekaa kiudaku zaidi hakuna mwenye uthibitisho kwa hili bora aje ajibu mwenyewe
 
mh. Rais wako anawake wangapi?kwan kwa mh.Rais bdo huitaji uwepo wake?
 
Kupanga ni kuchagua! Mambo mengine private bwana. Hata iwe idadi gani yeye kaona ndo sawa maadam hajavunja sheria ni poa
 
Hivi nabii ibrahim alizaa pia na kijakazi,solomon,daudi jee walikua na wake wangapi?hao si mitume wa mungu na wataenda peponi!

imebidi nirudi hapa.hivi bado tunataka tuishi kama mitume wa zamani?
 
Mmmhhhhhh wapo wawili tu

nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa anawake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. kwa maisha ya kawaida hapa tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.punuza speed uishi miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…