Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
Mie nawajua wakeze wa3 tu.
kwa mujibu wa dini yake...he is still 1 short....LoL!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nawajua wakeze wa3 tu.
dini yake inaruhusu mwisho wake wanne tu,hakuna zaidi ya hapoHyo ni juu yake na dini yake inaruhusu hata wake 100 ww unashangaa sita tuu?
kwa mujibu wa sheria za hiyo dini uikusudiayo mwisho wa kuoa ni wanawake wanne tu na si zaidi ya hapo, labda kama kuna mafundisho mapya yameanzishwa tofauti na niliyoyasoma mimi. Ni katika kukuweka sawa tu mkuu wala si vinginevyo.
nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa anawake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. kwa maisha ya kawaida hapa tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.punuza speed uishi miaka mingi
xaxa kama mwiho ni wanne tuu huyu anatumia dini ipi mwenzenu anapigilia tuu hivyoo au mmeifanyia marekebisho ile something:mvutaji:
Hyo ni juu yake na dini yake inaruhusu hata wake 100 ww unashangaa sita tuu?
nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa anawake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. kwa maisha ya kawaida hapa tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.punuza speed uishi miaka mingi
dini ya kiislam imeruhusu mwisho wake wanne ,tuendelee kuoa mke zaid ya mmoja jaman hawa wadada ni wengixaxa kama mwiho ni wanne tuu huyu anatumia dini ipi mwenzenu anapigilia tuu hivyoo au mmeifanyia marekebisho ile something:mvutaji:
Hivi nabii ibrahim alizaa pia na kijakazi,solomon,daudi jee walikua na wake wangapi?hao si mitume wa mungu na wataenda peponi!
nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa anawake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. kwa maisha ya kawaida hapa tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.punuza speed uishi miaka mingi
du jamaa ni noma aisee wake sita??