Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mie muislam na jina langu nimerithi jina la mtume(s.a.w).
Mbona akili yako iko Kikristo na chuki dhidi ya waislamu wenzako ?
Kwa taarifa yako wakati wa Mapinduzi waliouliwa maelfu ya waislamu na wa Tanganyika wenzako na wa Zanzibar wengi hata wasio na asili ya Uarabuni walikimbilia nchi Za kiarabu na kule UAE ukisema tu wewe ni mzanzibari basi ilikuwa unapokelewa.
Chuki zako kwa Wazanzibari zimezidi wakristo, Hatari utafikiri ni mdogo wake Nyerere
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?

Siasa ni kikwazo!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Muhimu ni kwenda kujifunza.
 
Mbona akili yako iko Kikristo na chuki dhidi ya waislamu wenzako ?
Kwa taarifa yako wakati wa Mapinduzi waliouliwa maelfu ya waislamu na wa Tanganyika wenzako na wa Zanzibar wengi hata wasio na asili ya Uarabuni walikimbilia nchi Za kiarabu na kule UAE ukisema tu wewe ni mzanzibari basi ilikuwa unapokelewa.
Chuki zako kwa Wazanzibari zimezidi wakristo, Hatari utafikiri ni mdogo wake Nyerere
Hakuna chuki shekh ila waliouliwa wakati wa mapinduzi walikuwa wachache tu
Wengi wao walikuwa magaidi ya kiarabu
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
NAJIULIZA KWELI SUALA HILO, PIA HAPA MAFIA TUNAKWAMA WAPI?
 
Hakuna chuki shekh ila waliouliwa wakati wa mapinduzi walikuwa wachache tu
Wengi wao walikuwa magaidi ya kiarabu
Lazima utasema hivyo kwa dharau kwa sababu mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi, shukrani sana na ni maadui zako waislamu
 
Mbona akili yako iko Kikristo na chuki dhidi ya waislamu wenzako ?
Kwa taarifa yako wakati wa Mapinduzi waliouliwa maelfu ya waislamu na wa Tanganyika wenzako na wa Zanzibar wengi hata wasio na asili ya Uarabuni walikimbilia nchi Za kiarabu na kule UAE ukisema tu wewe ni mzanzibari basi ilikuwa unapokelewa.
Chuki zako kwa Wazanzibari zimezidi wakristo, Hatari utafikiri ni mdogo wake Nyerere
Mkuu mie sina chuki na wazanzibari hata upunje.
Hao ndugu zangu kwanini niwe na chuki nao!?
Ila waache kujitegeza na kulalamika sana mkuu.
Hawa jamaa kila mahala wao wanalalamika.
Ila sina chuki na wavisiwani,bibi yangu mwenyewe mshirazi sasa nawachukiaje wazanzibari!?
Ila wanajitegeza sana hicho ndicho wanachonisikitisha mimi.
 
Three clap 👏🏾 👏🏾 👏🏾 mkuu.

Na nje ya mada kidogo, Wazanzibari hawaoni faida ya Dr. Mwinyi hata anayoyafanya sababu wameshajazwa roho ya katili ya kutojua kizuri.

Kwa sasa wanatumia ujinga wa wazanzibari kuwaambia jamaa ni mbaya na kutafuta udhaifu wake ndiyo wananchi wanalishwa huo.
Ila kidogo wengi wanaanza kumuelewa Hawa mafisadi ndio wanajatibu kupiga propaganda akiwemo yule waziri alie jiuzuru kisa kampuni yake imenyang'anywa leseni ya kuuza ulevi zenji
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?

Watu wengi wa nchi zenye Hao watalii tunaowategemea huwa hawapendi kuhangaishwa Airport kwa kujaza mijikaratasi , na pia kulipa dola 50. Mimi Nina Mzee wangu aliondoka ZNZ zamani miaka ya 70 yuko nje , ameniambia yeye hwenda Thailand kupumzika na hiyo dola hamsini inamfaa hotell pamoja na massage kupigwa. Pia ameniambia mazingira ya Thailand ni Kama ya Zanzibar kwa hivyo hujisikia raha na hasumbuliwi na mtu.
Soma hapa chini wanachokifanya Mauritius

Mauritius visa exemption & requirements
As of 2024, regular passport holders from 115 countries visiting Mauritius for tourism purposes including Angola, Antigua and Barbuda, Argentina, Australia, Austria, Bahamas, Bahrain, Barbados and Belgium Do Not require a visa and will be granted permission for short-term stay on arrival
 
Ila kidogo wengi wanaanza kumuelewa Hawa mafisadi ndio wanajatibu kupiga propaganda akiwemo yule waziri alie jiuzuru kisa kampuni yake imenyang'anywa leseni ya kuuza ulevi zenji

Ile bandari alitupiga changa la macho eti kuna wafaransa. Amestukiwa kumbe kampa yule kijana wa Mpendaye wanakula pamoja
 
Kama ni fitna tunasubiri majibu kutoka kwa wote waliosemwa maana yaliwekwa hadharani na mengine ya tenda Za petroli
Unajua jamaa alivyokuchagua kuwa waziri wa Utalii nilishangaa sana! Hivyo sishangai fitna zako. Enzi za Shein ulimchongea sana yule waziri wa upinzani bila kujua bodygurd wa Sheni ni ndugu yake na jamaa hivyo alikuwa akimpasha unafki wote mnaopeleka Kwa presida. Mbaya Zaidi bwana mkubwa alikuwa hawezi kumtumbua mshikaji.
Kaeni Kwa kutulia kampuni yenu ndio kwisha habari yake; leseni ndio mmeishanyimwa.

Mpaka hapo nadhani umenielewa.
 
mengine haya mimi sijawa CCM hata siku moja wala sijishughulishi na haram

View: https://x.com/zanzibarleaks/status/1795421735614918885?t=p_hDbJ3hdqrbSLU_-5r-rA&s=08
 
Back
Top Bottom