Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Wewe ni team mafisadi mliobanwa mbavumengine haya mimi sijawa CCM hata siku moja wala sijishughulishi na haram
View: https://x.com/zanzibarleaks/status/1795421735614918885?t=p_hDbJ3hdqrbSLU_-5r-rA&s=08
Tumekusikia Sasa jibu höja kwanini mkachukua tenda ya zaidi ya dola 200 mkaacha mafuta rahisi ya dola 50??Wewe ni team mafisadi mliobanwa mbavu
Sio shit hole kama nchi yenu.Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Mauritius wana akiliNawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Zanzibar mpaka uondoke uvamizi ndiyo akil itarudi. Bila hivyo mvamizi na mvamiwa wote wataendeleza ujinga tuMauritius wana akili
Zanzibar hawana akili.
Nadhani ni mfumo wao mzuri wa kujitangaza wala sio mkono mkono wa ufaransa, Morocco wanapokea watalii M 14 kwa mwakaUkiondoa ubaguzi na bughdha za ajabu ambazo hazipatikani kule ni pamoja na.
1. Mauritius in visa free almost kwa nchi nyingi sana duniani, Hivyo mtali hahitaji visa kwenda tofauti na Tanzania ambapo unahitajika kufanya visa application kama unatoka baadhi ya nchi.
2. Kuna mkono mkubwa wa France katika nyanja nyingi za Mauritius, Ndio maana wapo mbali.
Nk.
2022 rafiki yangu Mzambia alikataa kufanya utali Tanzania na kuelekea Mauritius, nilipomuuliza kwanini alisema anaona Mauritius wapo vizuri kuliko Zanzibar.
Japokuwa ni maamuzi binafsi lakini kama mzalendo kwa namna moja ilinikwaza.