Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Sio shit hole kama nchi yenu.
 
Mauritius wana akili
Zanzibar hawana akili.
 
Ukiondoa ubaguzi na bughdha za ajabu ambazo hazipatikani kule ni pamoja na.

1. Mauritius in visa free almost kwa nchi nyingi sana duniani, Hivyo mtali hahitaji visa kwenda tofauti na Tanzania ambapo unahitajika kufanya visa application kama unatoka baadhi ya nchi.
2. Kuna mkono mkubwa wa France katika nyanja nyingi za Mauritius, Ndio maana wapo mbali.
Nk.
2022 rafiki yangu Mzambia alikataa kufanya utali Tanzania na kuelekea Mauritius, nilipomuuliza kwanini alisema anaona Mauritius wapo vizuri kuliko Zanzibar.
Japokuwa ni maamuzi binafsi lakini kama mzalendo kwa namna moja ilinikwaza.
Nadhani ni mfumo wao mzuri wa kujitangaza wala sio mkono mkono wa ufaransa, Morocco wanapokea watalii M 14 kwa mwaka
 
Back
Top Bottom