Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?


Wale wanaheshimu sana uhuru wa mtu. Huwezi kusikia wamemkamata mtu yeyote eti kwa sababu amekula hadharani wakati wa mfungo.

Mchanganyiko wao mkubwa katika dini, umeifanya Mauritius kuwa ni mahali ambapo kila mmoja kuwa huru, bila ya kulazimishwa kufuata desturi ya dini yoyote:

"According to the 2011 census, approximately 48 percent of the population is Hindu, 26 percent Roman Catholic, 17 percent Muslim, and 6 percent non-Catholic Christian, including Seventh-day Adventists, Anglicans, Pentecostals"
 
saudi ni wakoloni wao na wazanzibar ni watumwa wao.Wametawaliwa kitamaduni,kiimani na kifikra,hili jinamizi limewaganda balaa hawachomoki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…