Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
salam.
Nimekaa hapa kitandani mida hii huku nikiwa na peruzi peruzi kidgo humu ndani.....mara ghafla nashangaa taa inazma yenyewe na umeme upo.
nikainuka taratibu mpaka kwenye switch nkawasha....ile nakaa tu kitandani ikazima tena....nikarudi tena kuwasha......ile nijiweke fresh kitandani sa hv ndo naona inazima tena...
Sasa sijui ndo ndugu zake mshana wazee wa ngwasuma wametinga tayar pande hz au vp......Maombi yenu tafadhari.
Mana kama ni kutubu mi nilienda jumapili wala sikubisha.
Usiku mwema jaman....mniombee..