Mi leo nimeota nipo sehemu na watu halaf nyoka wanapita hao wakubwaa,wanapita kwa kasi kama treni za umeme,baadae nikaenda kulala akaja nyoka mkubwa akanipandilia kuanzia miguuni taratibu huku anajizungusha mwilini mwangu nikaanza kumsikia anakuja kifuani ,akafika kifuani mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda kasi huku najiuliza kupiga kelel siwezi nifanye,akatoa ulimi akawa ananilamba usoni yaan kama ananinusa nusa jamani ,nikasema leo ninaloo,bahati nzuri nikashtuka yaan nilifurahi maana ilikuwa kama kweli,nikamulika na tochi kuangalia pembeni kote nikakemea nikalala ,kwenye ndoto niliogopa nyie sijui alitaka kuniuma
Shemeji yangu njoo niambie hii ndoto ya maana yake
Cc
Mshana Jr