Mauzauza yamenikuta chumbani kwangu

Mauzauza yamenikuta chumbani kwangu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nimaamini waafrica hatupendani......wangekua mbele wangenambia " dont worry we gona call 911 for you"[emoji13]

Na usipo kuja kuleta mrejesho kesho jiandae tena wembe ni ule ule
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] usijali ikizima tena usiiwashe itawaka yenyewe, chama la wana linapita usawa wa paa lako

Anazuga ku kupambana na wazee wa ngwasuma eti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Na usipo kuja kuleta mrejesho kesho jiandae tena wembe ni ule ule
sasa huyo atakua popo bawa mana ndo kamchezo kake......akikupiga mchezo lazma asubuh upige yowe kama nyumba tano hv na anakuacha....sasa mimi naweka vigunzii[emoji19]
 
Radi.....albadir mpka waichuje chuje wa mbinguni huko inachukua mda
 
Chunga iyo ndogo yako wacje kuichoronga
 
Mvaa Hirizi anawapitia wote waliomsema tokea Majuzi baada ya Ibada ya Kakobe(Ka Turtle)
 
Tunaomba mrejesho maana kumekucha
MREJESHO....

Kwanza nikili wazi kwamba siku ya jana ilikua chungu sana kwangu....na nikama tu jamaa walikua wanasubiri nifumbe macho tu wanichangamkie.

Kama nilivowaambia jana nililala na bibulia...sasa cha kuchekesha animeamka nimekuta haipo kitandani ipo mezani....

Na juu upande wangu wa kichwa nimekuta kuta kuna kakopo kadogo ka "baby care" wakuu....lakini nasema ukweli sidanganyani " nimekuta kajafunguliwa wala hakajatumika.[emoji38] [emoji38]

Kwa maana hyo jamaa wamenishindwa na kwa uwezo wa Mungu hawatoweza kamwe.....

Ila kuanzia leo sitolala geto kwangu kabisa.....hapa nipo kufanya utaratibu wa kuhama.....SITAKI UCHWARA MIMI HAPA......

MIMI BADO NI MWANAUME RIJALI KABISA NA JAMAA HAWANIWEZI NA WATAENDELEA KUSHINDWA TU...NA WAKIJA VIBAYA NTAWATAFUNA WAO....[emoji19]
 
Back
Top Bottom