Mauzauza yamenikuta chumbani kwangu

Mauzauza yamenikuta chumbani kwangu

MREJESHO....

Kwanza nikili wazi kwamba siku ya jana ilikua chungu sana kwangu....na nikama tu jamaa walikua wanasubiri nifumbe macho tu wanichangamkie.

Kama nilivowaambia jana nililala na bibulia...sasa cha kuchekesha animeamka nimekuta haipo kitandani ipo mezani....

Na juu upande wangu wa kichwa nimekuta kuta kuna kakopo kadogo ka "baby care" wakuu....lakini nasema ukweli sidanganyani " nimekuta kajafunguliwa wala hakajatumika.[emoji38] [emoji38]

Kwa maana hyo jamaa wamenishindwa na kwa uwezo wa Mungu hawatoweza kamwe.....

Ila kuanzia leo sitolala geto kwangu kabisa.....hapa nipo kufanya utaratibu wa kuhama.....SITAKI UCHWARA MIMI HAPA......

MIMI BADO NI MWANAUME RIJALI KABISA NA JAMAA HAWANIWEZI NA WATAENDELEA KUSHINDWA TU...NA WAKIJA VIBAYA NTAWATAFUNA WAO....[emoji19]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] pole
 
Mi leo nimeota nipo sehemu na watu halaf nyoka wanapita hao wakubwaa,wanapita kwa kasi kama treni za umeme,baadae nikaenda kulala akaja nyoka mkubwa akanipandilia kuanzia miguuni taratibu huku anajizungusha mwilini mwangu nikaanza kumsikia anakuja kifuani ,akafika kifuani mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda kasi huku najiuliza kupiga kelel siwezi nifanye,akatoa ulimi akawa ananilamba usoni yaan kama ananinusa nusa jamani ,nikasema leo ninaloo,bahati nzuri nikashtuka yaan nilifurahi maana ilikuwa kama kweli,nikamulika na tochi kuangalia pembeni kote nikakemea nikalala ,kwenye ndoto niliogopa nyie sijui alitaka kuniuma

Shemeji yangu njoo niambie hii ndoto ya maana yake
Cc Mshana Jr
 
duuuuhh yn unavosimilia mpka nikajikuta na mm naangalia angalia huku na kule kuona kama kuna nyoka.....
mana ndo mdudu ambaye kila ninapotembea nahisi yuko pembeni yangu
 
Wewe amin shot bana,mchawi hawez zima taa anakuwangia hapo hapo kwenye mwanga na haumuoni
hahahaaaaa....

umeongea kitaalam kweli hapo.....

haka kataaluma unako et???[emoji16]
 
salam.

Nimekaa hapa kitandani mida hii huku nikiwa na peruzi peruzi kidgo humu ndani.....mara ghafla nashangaa taa inazma yenyewe na umeme upo.

nikainuka taratibu mpaka kwenye switch nkawasha....ile nakaa tu kitandani ikazima tena....nikarudi tena kuwasha......ile nijiweke fresh kitandani sa hv ndo naona inazima tena...

Sasa sijui ndo ndugu zake mshana wazee wa ngwasuma wametinga tayar pande hz au vp......Maombi yenu tafadhari.

Mana kama ni kutubu mi nilienda jumapili wala sikubisha.

Usiku mwema jaman....mniombee..
Hiyo switch inajizima yenyewe au
 
Mi leo nimeota nipo sehemu na watu halaf nyoka wanapita hao wakubwaa,wanapita kwa kasi kama treni za umeme,baadae nikaenda kulala akaja nyoka mkubwa akanipandilia kuanzia miguuni taratibu huku anajizungusha mwilini mwangu nikaanza kumsikia anakuja kifuani ,akafika kifuani mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda kasi huku najiuliza kupiga kelel siwezi nifanye,akatoa ulimi akawa ananilamba usoni yaan kama ananinusa nusa jamani ,nikasema leo ninaloo,bahati nzuri nikashtuka yaan nilifurahi maana ilikuwa kama kweli,nikamulika na tochi kuangalia pembeni kote nikakemea nikalala ,kwenye ndoto niliogopa nyie sijui alitaka kuniuma

Shemeji yangu njoo niambie hii ndoto ya maana yake
Cc Mshana Jr
Maana yake kuna adui amekuteka kotekote na anafanya atakavyo na kuharibu kila jema lako
 
Back
Top Bottom