[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nimaamini waafrica hatupendani......wangekua mbele wangenambia " dont worry we gona call 911 for you"[emoji13]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] usijali ikizima tena usiiwashe itawaka yenyewe, chama la wana linapita usawa wa paa lako
sasa huyo atakua popo bawa mana ndo kamchezo kake......akikupiga mchezo lazma asubuh upige yowe kama nyumba tano hv na anakuacha....sasa mimi naweka vigunzii[emoji19]Na usipo kuja kuleta mrejesho kesho jiandae tena wembe ni ule ule
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ulikosea kutoa taarifaNimetishia kuroga ma mnitor wa humu nikapewa ban
sasa huyo atakua popo bawa mana ndo kamchezo kake......akikupiga mchezo lazma asubuh upige yowe kama nyumba tano hv na anakuacha....sasa mimi naweka vigunzii[emoji19]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ulikosea kutoa taarifa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji298] [emoji298] [emoji298]Mkuu kati ya Radi na Albadir kipi kinaua haraka tufanye kazi
MREJESHO....Tunaomba mrejesho maana kumekucha