Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Atakuja tena??Ndoto huja kinyume
Sio lazima kwa umbo la nyoka ila si kwa umbo utakalo wewe.... Hatuna uchaguzi wa ndotoAtakuja tena??
Sitaki aje tena yeyoteSio lazima kwa umbo la nyoka ila si kwa umbo utakalo wewe.... Hatuna uchaguzi wa ndoto
Lala na kipande cha ndimu na kitunguu saumuSitaki aje tena yeyote
Hizo wire unga kwa kusokoteana na ziache uchi usiweke connector wala kuzungushia insolution tape ili likigusa tuu linase hapo[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji85] [emoji85] dawa yao ndo hiyokijana unaroho mbaya wewe sijawah kuona...