gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
- Thread starter
-
- #81
[emoji3][emoji3][emoji3] kama aliyetoa hili tangazo anadhani ana uhuru wa aina hiyo, not to that extentAliyetoa hili tangazo atumbuliwe mara moja.
Impact yake itakuja mpaka huku DSE we subiri.....huyu baba nkwabi anafelisio 500mlls tu alisema 1mill usd ambayo ni sawa na almost 2bills za tz ni hasara kubwa sana kwa taifa hasa pale watakapoamua kwenda kudai fidia mahakamani
Soma au angalia picha..hatutaki umbeaMkuu jaza nyama kiduchu kwenye bandiko lako.
Yaani full mvuruganoNilitaka kununua hisa za Vodacom, nikasikia mtaani kuwa kuna agizo kutoka mbinguni kuwa TTCL ndio chaguo la lazima.
Nikasema si mbaya, acha ninunue hisa za Twiga Cement...loh, huko ndio balaa. Nikasikia mitaani kuwa mshindani wake anaandaliwa mgodi na bomba la gesi ili auze saruji kwa 7000, kwa maana hy saruji yetu ya Twiga ipo mashaka ni
Si ndio nikakumbuka chama kubwa CRDB, ilibaki kidogo ninunie hisa ndio nikaona kwenye taarifa ya habari kuwa ya kwetu ni NMB na maelekezo yalishatoka kuwa njuruku zihifadhiwe huko na si kwingineko.
Soko la hisa limeanguka kwa kuwa sijanunua hisa.
GED ilileta athari kubwa sana na ku recover ilichukua karibu miaka 10. Hii yetu sijui ikibaki million 1 sijui itachukua miaka mingapi ku recoverGreat Depression ya mwaka 1929-39 ilitokana na kuanguka kwa soko la hisa la New york. Sasa hili la kwetu nalo linaelekea uko.
Tatizo akii zenu zimisha nyeshwa maji ya kijani-kila kitu ni ndio mzee muwe mnapanua ubongo wenu hata kwa nchi mojawewe chizi unajua jana tuu mauzo yalikuwa juu? tafuta taarifa ya jana na wiki iliyopita
umelogezeshwa kolomijeHata libaki 0
Bado nitampigia kura Magufuli
Ukipata ela ya kalolaiti na yakuingia jf umemaliza, na akili zako cjui ummempa nani akushikie.Lazima lianguke..maana pesa za anasa hakuna tena..litaanza kuinuka likiwa na pesa safi
th
Mkuu ndio maana sija comment kwenye huu uzi kiuchumi zaidi sababu nilikuwa sina data za wakati husikaKama hujawahi kudeal na stock market utabaki kupiga kelele na kufuata mkumbo wa wanasiasa uchwara..
Stock business ni kama kamari... Kabla hujatupa pesa huko lazima ujihakikishie unakoweka pesa yako kutaizalisha..
Mfano mdogo tu nakuwekea trends za mwaka jana.. Angalia February mauzo yalikuwa kiasi gani alafu angalia mwezi uliofuata march yalikuwa kiasi gani... Alafu ruka mpaka June na July alafu angalia August then tizama September na October... Hizi fluctuation kwenye stock market ni kitu cha kawaida sana..
View attachment 488078
mie nmeandika na nachokijua maana nimeisomea ndani ya taaluma yangu ya uchumi ssa wwe unayekinzana na hoja yangu kwanni usije na majibu tofauti ili tuelimishane na kurekebishshana if at all unaona nmedanganya?Unaandika kwa lugha ya kitaalamu lakini kichwani ni upupu tu... Hujui hata soko la hisa linavyo'operate...
Yaani kwa kifupi wewe ni bure kabisa huna unachojua kuhusu stocks..
Mkuu tuachane na siasa .........tupeane possible factors zilizosababishaa angu kubwa namna hiimkuu bavicha ndio inaongoza DSE?? basi toa maoni yako je unaonaje soko la hisa limekufa ndani ya mwaka mmoja tu toka awamu ya 5 iingie?? je nni kimeenda mrama na ni lipi suluhisho ili twende mbele??
Hahaha una vituko una manishs hisa za vodacom zimesababisha hisa za makampuni mengine kutonunuliwa
Sasa kwnye hzo figure za billion 32 hadi billion hai include mauzoya hisa za voda???
Elimu elimu elimu elimu-lowassa alikuwa sahihi
Cheki hisa za vodacom ni shilingi ngapi alafu jamaa anasema zimeshusha
Suala hili ni kubwa na mimi naliangalia kama kiashiria kimoja cha uchumi kudorora, wawekezaji kukata tamaa na kuacha kuwekeza katika biashara, kufunga biashara na wale wa kutoka nje ya nchi kuondoka kwenda kuwekeza katika nchi nyingine zenye mazingira mazuri ya kibiashara kuliko ya Tanzania tunayo yajenga sasa. Viongozi waliangalie hili vizuri maana hata ukiwa mkali vipi, sekta binafsi ikikukataa huendi mbali utaanguka tu
Mimi naona kuna uncertainities na risk kma sera zinazobadilika za serikali..... hivyo hakuna political au economic certainity so watu wanaogopa kumwaga pesa afu kesho wale hasara!!! mfano makontena yakizuiwa bandarini na kma unavyoskia acacia wanasema wamepata loss kubwa sana ya mamilion je nani yuko tayari kumwaga pesa zake kwenye soko ambalo hujui kesho kma sera na sheria za kudhibiti biashara flani kubadilika?????Mkuu tuachane na siasa .........tupeane possible factors zilizosababishaa angu kubwa namna hii
Wengine tunataka kujifunzaa kuna mmoja katoa maoni kuwa pale kunapokuwepo na initial public offer(IPO) mauzo ya soko la hisa yanashuka.......na ni kweli vodacom wametoa IPO saaa cjuii ww una wazo gan tofaut
Akiisoma hii hasira atazimalizia kwa my waifu wake.Hizi habari mbaya Mkuu huwa hazipendi kabisa, zinamnyima raha na usingizi, hana Amani kabisa.
Sasa hivi utasikia hizo ni habari za uchochezi.