Mauzo ya Bidhaa nje ya nchi (export)yameshuka kwa dola milioni mia sita sawa na trilioni moja.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Kulingana na data za world Bank.

Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania.

Hii ukiachana na uhalisia kwamba chanjo imepatikana na biashara zimeanza kurejea katika hali yake.

Nini chanzo cha yote haya?
 
Chanjo ya nini tena kwani Tanzania tuna magonjwa yanayo hitaji chanjo?

Wewe na kundi lenu la sukuma gang mwaka jana mlikuwa mnawabeza wapinzani walipo kuwa wanahitaji tamko la serikali juu ya uwepo wa korona.
 
Chanjo ya nini tena kwani Tanzania tuna magonjwa yanayo hitaji chanjo?

Wewe na kundi lenu la sukuma gang mwaka jana mlikuwa mnawabeza wapinzani walipo kuwa wanahitaji tamko la serikali juu ya uwepo wa korona.
Corona hakuna tena.

Chanjo ipo ila exports zimeshuka sana.
 
Covid19
 
Embu link bas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kaharishe au kajambe umevimbiwa unaota ndoto zisizoeleweka
 
Yote kwa yote shujaa wenu yupo ardhini Chato thats all!!
 
Sasa exports zinahusiana vipi na chanjo? Yaani nyie ngedere ni bure kabisa!! Mauzo ya nje na chanjo hapa nchini wapi na wapi au huelewi maana ya exports? Pathetic fool!!
Alafu anakili kuwa chanjo ipo nchini lkn hakuna corona
 
Kazi iendelee
 
Waziri wa biashara hajawahi kumiliki biashara hata kioski Cha viroba na K vant ya jero jero unategemea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…