Mauzo ya bidhaa za Tanzania Soko la Ulaya yameongezeka

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA

Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 633.5 mwaka 2023.

Ongezeko hilo lilichangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kakao, parachichi, tumbaku, kahawa na madini.

Haya ni Mafanikio ya utekelezaji wa bajeti ya Mwaka 2024/2025 kwa Wizara ya Viwanda na Biashara

20250517_080456.jpg
 
nNILIDHANI YANGEPUNGUA KWA SABABU LISU BADO YUKO NDANI. WABUNGE WA ULAYA WANAKUJA LINI KUMUONA LISU?
 
Takwimu za Lumumba hizo ni mjinga Tu ndiyo atakubali hizo data za kipumbavu....Ni bidhaa gani Tanzania Ambazo tumeuza nje?
 
nNILIDHANI YANGEPUNGUA KWA SABABU LISU BADO YUKO NDANI. WABUNGE WA ULAYA WANAKUJA LINI KUMUONA LISU?
Lisu hawez sababisha mauzo kupungua , ulaya wakitaka kuweka vikwazo hatutaenda mahali kwakweli
 
Back
Top Bottom