Mauzo ya bidhaa zetu nje yapungua kwa 50%!

Uchumi wa bongo unapaa hao waliandika hiyo taarifa ni wivu tu unawasumbua[emoji3] [emoji3]
 
Mimi mpaka sasa nahoji source ya hizo figures, that is such a huge percentage.

Magufuli anaangusha uchumi najua, lakini nilikuwa sijui kwamba ni kwa this extent.

Yani that percentage is so big such that hata ikiwa si kweli, na nusu yake tu ndiyo ikawa kweli, bado itakuwa ni kubwa sana kiuchumi.
 
tuliingia chaka
 
Me naomba kuhoji jambo!

Kwa nyie ambao mnalalamika kuwa uchumi unakwenda kubaya na mapatao yanapungua nina maswali kwenu.

(1) Naomba kuwauliza je, mnaweza kutupatia takwimu sahihi juu ya hizo kampuni zinazoongelewa hapo juu ushiriki wake katika kulipa kodi kwa serikali?! Yaani mnipatie ushahidi kuwa hizi kampuni mwanzo zilikuwa zinalipa kodi na sasa magufuri ameingia ameziongezea kodi mara mbili zaidi, au amezikataza kupeleka bidhaa nje, au amezifilisi. Hebu nambieni mnachokijua ambacho mwanzo kilikuwapo sawa na sasa magufuri amekuja kuharibu na muongee kwa ufasaha bila lawama.

(2). Hebu naomba mnambie mlishawahi kufuatilia kipindi cha nyuma, kuwa hizi kampuni kiutendaji zilikuwa zinafanyaje kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi?!

(3). Naomba mnijuze ni kipi hasa mnachotaka kutoka serikalini inapokuja swala la kudai kodi, why hamjui kujenga hoja?! Kwann mnakuwa ni watu wa kulalamika na si wakuelezea kile kinachokosewa na kukitolea ushauri wa suluhu ya nini kifanyike. Kwann mnakuwa kama watoto vichanga kutwa kuliaaa tu na usiseme ni nini wataka haujui kuna watu wanakerekea ingawa na wao wanapitia magumu haya.

Kwakweli ifike wakati watz tuanze kuwa watu wa kutafakari na kujenga hoja. No wonder watu wengi maisha yanakuwa magumu kweli si tu kiuchumi bali hata mahusiano ya kawaida. Mkeo au rafiki yako amekosea badala ya kuketi naye umuelezee ni wapi anakosea na ajirekebishe kwa maana anakudhuru, wewe unakalia kununa na kumvimbia kwa kiburi kana kwamba yeye anaweza kusoma akili yako akadadavua majibu bila wewe kusema lolote.

Hebu mjifunze kuwa watu wa kauli nzuri. Sio kuvuta vuta midomo na kutoa maneno ambayo ni dhahiri haujatumia hata sekunde kuyatafakari na ulichofanya ni kukopi na kupesti mawazo ya mtu mwingine. Hebu kuweni wakubwa basi.
 
Yy ni msomaji wa makala yenye Taarifa, sasa yule aliandaa hiyo Taarifa anaitwa nani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tusiwe waoga kupenda kujisomea!
Mkuu kuna watu hawajielewi, hawawezi hata kujifikiria mwenendo wa maisha yao.

Utakuta mtu ni Doctor au Professor wa PhD lakini haelewi hata zile rudiments za field yake.
Mtu anabaki kushabikia masuala bila kujijua na kuijua field.
Niliudhika sana pale Prof mpango aliposema hajui kwa nini biashara zina fungwa mnamo mwanzoni mwa mwaka huu.
That was intellectual dishonesty!
Nashukuru kwamba akaja kujisahihisha wakati wa bajeti na akatoa sababu ambazo zilikuwa na mashiko.

Watanzania lazima tuwe na utamaduni wa kuelewe kuwa matatizo yanatatuliwa kwa ku analyse source ta tatizo na kutafuta remedy kabla tatizo halijakuua!
 
Utawasikia wenye akili finyu, wakifurahia kwamba wafanya biashara walikua wapiga deal tu, sasa tutakua sawa wote.....................hii roho haitatuacha salama.
kabda tulikuwa tunauza vipusa baada ya kupigwa marufuku ndo export ikashuka
 
Me naomba kuhoji jambo!

Kwa nyie ambao mnalalamika kuwa uchumi unakwenda kubaya na mapatao yanapungua nina maswali kwenu.

(1) Naomba kuwauliza je, mnaweza kutupatia takwimu sahihi juu ya hizo kampuni zinazoongelewa hapo juu ushiriki wake katika kulipa kodi kwa serikali?! Yaani mnipatie ushahidi kuwa hizi kampuni mwanzo zilikuwa zinalipa kodi na sasa magufuri ameingia ameziongezea kodi mara mbili zaidi, au amezikataza kupeleka bidhaa nje, au amezifilisi. Hebu nambieni mnachokijua ambacho mwanzo kilikuwapo sawa na sasa magufuri amekuja kuharibu na muongee kwa ufasaha bila lawama.

(2). Hebu naomba mnambie mlishawahi kufuatilia kipindi cha nyuma, kuwa hizi kampuni kiutendaji zilikuwa zinafanyaje kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi?!

(3). Naomba mnijuze ni kipi hasa mnachotaka kutoka serikalini inapokuja swala la kudai kodi, why hamjui kujenga hoja?! Kwann mnakuwa ni watu wa kulalamika na si wakuelezea kile kinachokosewa na kukitolea ushauri wa suluhu ya nini kifanyike. Kwann mnakuwa kama watoto vichanga kutwa kuliaaa tu na usiseme ni nini wataka haujui kuna watu wanakerekea ingawa na wao wanapitia magumu haya.

Kwakweli ifike wakati watz tuanze kuwa watu wa kutafakari na kujenga hoja. No wonder watu wengi maisha yanakuwa magumu kweli si tu kiuchumi bali hata mahusiano ya kawaida. Mkeo au rafiki yako amekosea badala ya kuketi naye umuelezee ni wapi anakosea na ajirekebishe kwa maana anakudhuru, wewe unakalia kununa na kumvimbia kwa kiburi kana kwamba yeye anaweza kusoma akili yako akadadavua majibu bila wewe kusema lolote.

Hebu mjifunze kuwa watu wa kauli nzuri. Sio kuvuta vuta midomo na kutoa maneno ambayo ni dhahiri haujatumia hata sekunde kuyatafakari na ulichofanya ni kukopi na kupesti mawazo ya mtu mwingine. Hebu kuweni wakubwa basi.
Soma Guardian la leo, utakuwa umejijibu kikamilifu.
Kwa kifupi hili si suala la mtu mmoja au kampuni moja.
Kwa mujibu wa taarifa ya Guardian , Benki Kuu-BOT, TRA na National Bureau Of Statistics-NBS wameanza kuanalyse data za mauz nje katika kipindi hiki ili kujua tatizo limetokea wapi.
 
Tunasubiri fidia ya makinikia tujenge viwanda tukuze uchumi......ndege zetu zitakuza sn uchumi na tukikamilisha ujenzi wa airport ya kisiasa pale chattle mtaona maajabu ya dunia ya tatu....
Mm wenu rais wa wanyonge
 
Me naomba kuhoji jambo!

Kwa nyie ambao mnalalamika kuwa uchumi unakwenda kubaya na mapatao yanapungua nina maswali kwenu.

(1) Naomba kuwauliza je, mnaweza kutupatia takwimu sahihi juu ya hizo kampuni zinazoongelewa hapo juu ushiriki wake katika kulipa kodi kwa serikali?! Yaani mnipatie ushahidi kuwa hizi kampuni mwanzo zilikuwa zinalipa kodi na sasa magufuri ameingia ameziongezea kodi mara mbili zaidi, au amezikataza kupeleka bidhaa nje, au amezifilisi. Hebu nambieni mnachokijua ambacho mwanzo kilikuwapo sawa na sasa magufuri amekuja kuharibu na muongee kwa ufasaha bila lawama.

(2). Hebu naomba mnambie mlishawahi kufuatilia kipindi cha nyuma, kuwa hizi kampuni kiutendaji zilikuwa zinafanyaje kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi?!

(3). Naomba mnijuze ni kipi hasa mnachotaka kutoka serikalini inapokuja swala la kudai kodi, why hamjui kujenga hoja?! Kwann mnakuwa ni watu wa kulalamika na si wakuelezea kile kinachokosewa na kukitolea ushauri wa suluhu ya nini kifanyike. Kwann mnakuwa kama watoto vichanga kutwa kuliaaa tu na usiseme ni nini wataka haujui kuna watu wanakerekea ingawa na wao wanapitia magumu haya.

Kwakweli ifike wakati watz tuanze kuwa watu wa kutafakari na kujenga hoja. No wonder watu wengi maisha yanakuwa magumu kweli si tu kiuchumi bali hata mahusiano ya kawaida. Mkeo au rafiki yako amekosea badala ya kuketi naye umuelezee ni wapi anakosea na ajirekebishe kwa maana anakudhuru, wewe unakalia kununa na kumvimbia kwa kiburi kana kwamba yeye anaweza kusoma akili yako akadadavua majibu bila wewe kusema lolote.

Hebu mjifunze kuwa watu wa kauli nzuri. Sio kuvuta vuta midomo na kutoa maneno ambayo ni dhahiri haujatumia hata sekunde kuyatafakari na ulichofanya ni kukopi na kupesti mawazo ya mtu mwingine. Hebu kuweni wakubwa basi.
Usisubiri kuambiwa fanya research mwenyewe.
Kuna mtu aliwahi usema ukitaka kum confuse mtanzania, weka facts kwenye kitabu au jarida, ati watanzania hawasomi.
 
Hali ni tete, huku kwa upande wa kilimo baadhi ya mazao bei imeshuka sana, mbaazi msimu uliopita debe liliuzwa 20,000/=
Bei ya sasa ni kilio, debe 4,000/= na wateja hakuna. Sijui tumewafanya nini Wahindi hadi waghaili kununua mbaazi zetu!
 
Soma Guardian la leo, utakuwa umejijibu kikamilifu.
Kwa kifupi hili si suala la mtu mmoja au kampuni moja.
Kwa mujibu wa taarifa ya Guardian , Benki Kuu-BOT, TRA na National Bureau Of Statistics-NBS wameanza kuanalyse data za mauz nje katika kipindi hiki ili kujua tatizo limetokea wapi.
Tatizo lipo magogoni limekaa linakuna kipara!!
 
USD itafika 5000 kwa 1 mpk jamaa amalize muhura wake, na aking'ang'a basi hata zimbabwe na somalia itakuwa afadhali.
 
Mkuu kuna watu hawajielewi, hawawezi hata kujifikiria mwenendo wa maisha yao.

Utakuta mtu ni Doctor au Professor wa PhD lakini haelewi hata zile rudiments za field yake.
Mtu anabaki kushabikia masuala bila kujijua na kuijua field.
Niliudhika sana pale Prof mpango aliposema hajui kwa nini biashara zina fungwa mnamo mwanzoni mwa mwaka huu.
That was intellectual dishonesty!
Nashukuru kwamba akaja kujisahihisha wakati wa bajeti na akatoa sababu ambazo zilikuwa na mashiko.

Watanzania lazima tuwe na utamaduni wa kuelewe kuwa matatizo yanatatuliwa kwa ku analyse source ta tatizo na kutafuta remedy kabla tatizo halijakuua!
Mkuu, hoja [emoji106]
Tatizo lililopo ni ile tabia ya kutopenda kujisomea na kuelewa nn unachokisoma.
Muhimu sana kuwepo na tabia ya kupenda kujisomea, ndy njia mojawapo itakayo tusogeza ktk maisha yetu, kwa kuwa uelewa na ufahamu unaongezeka.
 
Wewe ni Msaliti
unatetea wezi
Gavana wa banki kuu ya tz ndulu afukuzwe kwa kutoa habari za uchochezi za kugombanisha serikali na wawekezaji na hilo gazeti la Mchaga Mengi lifungiwe kwa kupotosha ukweli kwa makusudi
 
Back
Top Bottom