Mauzo ya bidhaa zetu nje yapungua kwa 50%!

Me naomba kuhoji jambo!

Kwa nyie ambao mnalalamika kuwa uchumi unakwenda kubaya na mapatao yanapungua nina maswali kwenu.

(1) Naomba kuwauliza je, mnaweza kutupatia takwimu sahihi juu ya hizo kampuni zinazoongelewa hapo juu ushiriki wake katika kulipa kodi kwa serikali?! Yaani mnipatie ushahidi kuwa hizi kampuni mwanzo zilikuwa zinalipa kodi na sasa magufuri ameingia ameziongezea kodi mara mbili zaidi, au amezikataza kupeleka bidhaa nje, au amezifilisi. Hebu nambieni mnachokijua ambacho mwanzo kilikuwapo sawa na sasa magufuri amekuja kuharibu na muongee kwa ufasaha bila lawama.

(2). Hebu naomba mnambie mlishawahi kufuatilia kipindi cha nyuma, kuwa hizi kampuni kiutendaji zilikuwa zinafanyaje kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi?!

(3). Naomba mnijuze ni kipi hasa mnachotaka kutoka serikalini inapokuja swala la kudai kodi, why hamjui kujenga hoja?! Kwann mnakuwa ni watu wa kulalamika na si wakuelezea kile kinachokosewa na kukitolea ushauri wa suluhu ya nini kifanyike. Kwann mnakuwa kama watoto vichanga kutwa kuliaaa tu na usiseme ni nini wataka haujui kuna watu wanakerekea ingawa na wao wanapitia magumu haya.

Kwakweli ifike wakati watz tuanze kuwa watu wa kutafakari na kujenga hoja. No wonder watu wengi maisha yanakuwa magumu kweli si tu kiuchumi bali hata mahusiano ya kawaida. Mkeo au rafiki yako amekosea badala ya kuketi naye umuelezee ni wapi anakosea na ajirekebishe kwa maana anakudhuru, wewe unakalia kununa na kumvimbia kwa kiburi kana kwamba yeye anaweza kusoma akili yako akadadavua majibu bila wewe kusema lolote.

Hebu mjifunze kuwa watu wa kauli nzuri. Sio kuvuta vuta midomo na kutoa maneno ambayo ni dhahiri haujatumia hata sekunde kuyatafakari na ulichofanya ni kukopi na kupesti mawazo ya mtu mwingine. Hebu kuweni wakubwa basi.
Hata mkipewa ushahidi, kama hamuupendi huwa hamuutumii.
Lema, Nasari na Msigwa wamepeleka ushahidi leo Takukuru. Naona wanasubiri maagizo toka juu.
 
Soma Guardian la leo, utakuwa umejijibu kikamilifu.
Kwa kifupi hili si suala la mtu mmoja au kampuni moja.
Kwa mujibu wa taarifa ya Guardian , Benki Kuu-BOT, TRA na National Bureau Of Statistics-NBS wameanza kuanalyse data za mauz nje katika kipindi hiki ili kujua tatizo limetokea wapi.
The Guardian pia wanaweza kufungiwa kwa tuhuma za uchochezi hahaaa
 
Huwezi waona hapa hao, au ukiwaona watakuambia Chadema wamesababisha mauzo yameshuka au watakuambia biashara ya nje imepungua kwa sababu hakuna dili tena

Eeeeeeeh mbona umejibu
Kumbe na upinzani wako unayajua.. ila umetumia ujanja bomu kuyaandika wenzako humu wasikuone unajua awamu hii ni kiboko yenu.. eeeeh
 
Hii habari ni ya kizushi na haina ukweli wowote. Ipuuzeni. Nchi ya viwanda uchumi unashukaje kwa mfano.
 
Me naomba kuhoji jambo!

Kwa nyie ambao mnalalamika kuwa uchumi unakwenda kubaya na mapatao yanapungua nina maswali kwenu.

(1) Naomba kuwauliza je, mnaweza kutupatia takwimu sahihi juu ya hizo kampuni zinazoongelewa hapo juu ushiriki wake katika kulipa kodi kwa serikali?! Yaani mnipatie ushahidi kuwa hizi kampuni mwanzo zilikuwa zinalipa kodi na sasa magufuri ameingia ameziongezea kodi mara mbili zaidi, au amezikataza kupeleka bidhaa nje, au amezifilisi. Hebu nambieni mnachokijua ambacho mwanzo kilikuwapo sawa na sasa magufuri amekuja kuharibu na muongee kwa ufasaha bila lawama.

(2). Hebu naomba mnambie mlishawahi kufuatilia kipindi cha nyuma, kuwa hizi kampuni kiutendaji zilikuwa zinafanyaje kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi?!

(3). Naomba mnijuze ni kipi hasa mnachotaka kutoka serikalini inapokuja swala la kudai kodi, why hamjui kujenga hoja?! Kwann mnakuwa ni watu wa kulalamika na si wakuelezea kile kinachokosewa na kukitolea ushauri wa suluhu ya nini kifanyike. Kwann mnakuwa kama watoto vichanga kutwa kuliaaa tu na usiseme ni nini wataka haujui kuna watu wanakerekea ingawa na wao wanapitia magumu haya.

Kwakweli ifike wakati watz tuanze kuwa watu wa kutafakari na kujenga hoja. No wonder watu wengi maisha yanakuwa magumu kweli si tu kiuchumi bali hata mahusiano ya kawaida. Mkeo au rafiki yako amekosea badala ya kuketi naye umuelezee ni wapi anakosea na ajirekebishe kwa maana anakudhuru, wewe unakalia kununa na kumvimbia kwa kiburi kana kwamba yeye anaweza kusoma akili yako akadadavua majibu bila wewe kusema lolote.

Hebu mjifunze kuwa watu wa kauli nzuri. Sio kuvuta vuta midomo na kutoa maneno ambayo ni dhahiri haujatumia hata sekunde kuyatafakari na ulichofanya ni kukopi na kupesti mawazo ya mtu mwingine. Hebu kuweni wakubwa basi.
Unatuhoji sisi au chanzo cha taarifa? Wewe si ulete takwimu zinazopinga hii taarifa? Mbona na wewe unalalamika sasa?
 
Uki accuse kwamba kampuni hazikulipa kodi na hicho ndicho chanzo cha muanguko huu, wewe ndiye unayetakiwa kuleta ushahidi.

Katika sheria na mantiki, anayesema fulani ni mwizi ndiye mwenye mzigo wa kutoa ushahidi wa wizi. Anayeshutumiwa kuwa ni mwizi anaweza kujitetea kwa kuuliza swali tu.

Ushahidi uko wapi?

Katika serikali inayoongozwa na rais ambaye anajitapa kwamba kampeni yake haijachukua hata senti ya mfanyabiashara (uongo), kwa nini unafikiri tatizo ni kodi tu hapa?

Huyu rais kashaona wafanyabiashara wote wezi na kashawahukumu kwa mpigo kwamba hataki hela za mwizi yeyote hata senti.

Sasa katika nchi ambayo rais yuko anti business hivyo, kwa ninibufikiri tatizo ni kodi tu?

Umeongea habari ya watu kutotaka suluhu, kununa na kuvimbiana. Huyo rais ni bingwa wa ujinga huo. Kashawahi kumshangaa Shein kwa nini anasalimiana na Hamad, kwamba ingekuwa yeye Hamad anampinga hivyo Hamad angeisoma namba.

Sasa huyu ndiye rais unayemuunga mkono? Huoni kwamba una ji contradict hapa kwa mfano wa mtu kuishi vizuri na mkewe?

Magufuli ataangusha uchumi zaidi kama asipojirekebisha.

Na wewe unamsaidia kuendelea kuuangusha uchumi kwa kutopigia mstari ukweli.
 
Mie tatizo kubwa naloliona ni mentality na idiology ya mkuu wa kaya kuhusu uchumi,ana itikadi za kijamaa na kutaka watu wote wawe sasa ni kitu ambacho practically ni impossible.Hebu cheki kampuni imekwepa kodi kadhaa ,approach ya kutatua hiyo problem ni kukomoa,mbona huko nbele mtu anapewa mda mrefu wa kurejesha kodi bila kukomoa na kuathiri biashara? Eti Leo hii public sector ndio inajenga viwanda mfano mifuko ya jamii eg nssf,tayari tuna experience ya sekta ya uma kufeli kwenye viwanda tunarudia kulekule.Siwaelewi ccm mimi
 
The Guardian inabidi lifungiwe. Huu ni uchochezi. Kuna Hbr nyingi tu za kuandika kuhusu kasi ya ikuaji wa uchumi.......
 
Back
Top Bottom