Mauzo ya data Tanzania ni hasara

Mauzo ya data Tanzania ni hasara

Kuna nchi wanauziwa mpaka 1GB kwa thamani sawa na Tsh 250 waache kutulaghai hao voda
 
Makampuni ya simu hayafanyi biashara moja. Corporation nyingi hazipati faida kabisa kwenye biashara fulani, hivyo wanatumia biashara hiyo yenye hasara ku-compliment kule ambapo faida inaingia. Mfano, wanavyo-'promote' ukinunua kwa mobile money utapata na benefits za ziada ni njia ya kuongeza faida kwenye upande unaolipa (mobile money).
B
Kampuni yoyote kubwa ambayo ipo publicly traded iliyoji-diversify huwa siyo lazima itengeneze faida kila sehemu ya huduma inayotoa. Cha muhimu ni thamani ya kampuni ikue, ambapo siyo lazima ikue kutokana na faida ya huduma moja kati ya nyingi inazozitoa.
Mfano, angalia Amazon huduma zipi ni maarufu wanazitoa, na zipi specifically hazitengenezi hasara. Biashara yao ya e-commerce hailipi kabisa. Ila AWS ndo inafidia. Au angalia kampuni ngapi kubwa kwenye takwimu zao wenyewe na masoko ya hisa wanatengeneza faida.
Ni kweli biashara ndogo ni ngumu kuimaitain kama inatengeneza hasara, ila ikikua, sustainability inawatengenezea pesa wadau husika bila hata faida.

Hizi kampuni zikifungwa sio sababu za ufinyu wa faida kwenye bando, bali ni kwa sababu hali ya biashara kwenye hii nchi imeshuka, na kwa kuwa biashara yao inategemea ustawi wa hali ya biashara kwa wengine, kuanzia uwekezaji moja kwa moja na matumizi ya miamala.
 
Vodacom watu wanawakimbia wao ni kuwalipa baadhi ya viongozi ili waendelee kupiga pesa kwa kuuza data kwa bei ghari hata SA wanakimbizwa na MTN na Telcom data zao zipo nafuu na faster hao Voda hatujui wanauza nini wenzao kila kukicha wanabuni offer kwa wateja Voda wapo busy kukomaa na data za hela nyingi watavuna wanachokipanda kipindi hiki cha ushindani wa biashara...
 
Ndio nikasema, so as long as demand ipo, biashara itaendelea, mfano mimi, kutokana na uhitaji mkubwa wa internet katika shughuli zangu, hata uniuzie GB1 shs.10,000/= nitalipa tu, infact hata 100,000/= nitalipa , maana najua itarudi atleast mara 10 yake at any given day, so demand ikiwepo hata ufanyeje, tutalipa tu

Anachosema Kiranga kawa kulikua na wateja wa data 1,000,000 wanaoweza kumudu data kwa bei ya Tsh 10 kwa 1GB, ikiongezwa bei ikawa Tsh 30 au 50 kwa GB kuna watu itawashinda, huenda wateja wakabakia 500,000 au 600,000 na hao ni wale amvao wanajua hata kwa bei kubwa watalazimika kuwa na internet ili kazi zao ziendelee.

Demand itakuwepo lakini watu wenye uwezo wa kumudu idadi yao itapungua.
 
Asitutishe huyo jamaa , kwanza hawa jamaa wa mitqndai wanatuibia sana wa africa, yaani haya mambo ya sim africa tunaibiwa sana na hawa jamaa , yaani ukifatilia garama za sim na data kwa africa na ulaya utakuta ulaya wao rate zao ziko nchini sana, mfano mdogo upo tz alafu piga sim kenya uone garama yake, alafu uko tz piga sim canada uone wao wanavyo jipendelea
 
Asitutishe huyo jamaa , kwanza hawa jamaa wa mitqndai wanatuibia sana wa africa, yaani haya mambo ya sim africa tunaibiwa sana na hawa jamaa , yaani ukifatilia garama za sim na data kwa africa na ulaya utakuta ulaya wao rate zao ziko nchini sana, mfano mdogo upo tz alafu piga sim kenya uone garama yake, alafu uko tz piga sim canada uone wao wanavyo jipendelea

unachopiga kama ngumu kuacha atleast punguza
 
Zamani ukiweka 1Gb Kwenye simu inakaa siku 3 wakati mungine haiishi leo ukiweka 1Gb ndani ya masaa machache imeisha. Kuna tatizo Kwenye kuhesabu matumizi ya Mb
 
Toka wavujishe mawasiliano sijaweka tena mpesa. Wavune walichopanda
We upo kama mm nilishawatema kitambo sana wana mambo ya hovyo sana saiz nipo halopesa ,wezi wa mitandaon wengi wanatumia no za voda ,watu wanaumizwa kila siku ila hakuna hatua yoyote ,kuvujisha Siri za wateja wanaongoza wao Sasa hili ni kampuni gani limejaa udwanzi.

Gharama za vifurush wao wenyew ,kuibia watu dakika zao wao wenyew ,kuibia watu mb wao wenyew ,nikishawatema line yao ipo tu kwa cm imetulia tuliii sijawah weka vocha huu mwaka Wala kufanya muamala na voda
 
nchi gan hio
Israel Tsh 250 kwa GB
India Tsh 200 kwa GB

Halafu isitoshe wenzetu sasa hivi wanawaza namna ya kusupply data bure dunia nzima (Elon Musk) sisi tunawaza kupandishiana bei za data
 
Kiuhalisia Hata Makampuni ya Mawasiliano yanaibia sana waTanzania. Wanatoa huduma zao kwa ghalama kubwa sana ukilinganisha na Nchi jirani.
 
Israel Tsh 250 kwa GB
India Tsh 200 kwa GB

Halafu isitoshe wenzetu sasa hivi wanawaza namna ya kusupply data bure dunia nzima (Elon Musk) sisi tunawaza kupandishiana bei za data

kwanza nkurekebishe, India cheap data inatokana na kampuni inaitwa JIO, ambayo inamilikiwa na mukesh ambani billionaire, hio ni kama legacy yake! pia JIO wanauza pia smartphone kwa tsh 0.4$ , ila hio ni kama legacy ya ambani sio bei halisi ya data kwenye soko la ushindani

- israel ndo pekee inaouza data kwa bei ndogo duniani na ni because ya marekani, ifahamike kua israel ndo hub ya technology duniani and almost alot of innovation do come from israel
 
Kiuhalisia Hata Makampuni ya Mawasiliano yanaibia sana waTanzania. Wanatoa huduma zao kwa ghalama kubwa sana ukilinganisha na Nchi jirani.

nchi gan inatoa data kwa bei ndogo kuliko tanzania afrika nzima?
 
Zamani ukiweka 1Gb Kwenye simu inakaa siku 3 wakati mungine haiishi leo ukiweka 1Gb ndani ya masaa machache imeisha. Kuna tatizo Kwenye kuhesabu matumizi ya Mb

hakuna mtandao unaweza kuiba data za watumiaji kwa sababu hawazihesabu wao, na pia kuna apps za kuhesabu matumizi yako ya data unaweza zitumia, in most networks nmejaribu zpo sawa tu!
 
Back
Top Bottom