kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Madame S, ahsante sana sikuwa na elimu kubwa sana kwenye sisal, nakushukuru.asante tupo pamoja
na kuna kitu nilitakankusahau kwenye changamoto za mkonge
upatikanji wa mashine za kuchakata mkonge na kifunga hasa kwa wakulim wadogo.
umeme wa uhakika au gharama za dizeli katika kusindika.
tija ndogo ya mkonge kutokana na kutofuata kanuni za kilimo,kodi mbalimbali z halmashauri na mamlaka zingine
Napenda kujua je hawa wakulima wadogo wako organised vipi....? katika ushirika, network or vipi....