Madame S, ahsante sana sikuwa na elimu kubwa sana kwenye sisal, nakushukuru.asante tupo pamoja
na kuna kitu nilitakankusahau kwenye changamoto za mkonge
upatikanji wa mashine za kuchakata mkonge na kifunga hasa kwa wakulim wadogo.
umeme wa uhakika au gharama za dizeli katika kusindika.
tija ndogo ya mkonge kutokana na kutofuata kanuni za kilimo,kodi mbalimbali z halmashauri na mamlaka zingine
mkuu usikaririKatani changamoto kwa mkulima mdogo ni uwezo wa kulihudumia kwa hiyo miaka mitatu maana shamba chafu lazima wadudu na magonjwa yawe mengi, kingine location ya mashamba kwa mkoa wa Tanga mashamba yaliko sio rahisi kupata vibarua kwanza watu wavivu pili mashamba ni mbali na jamii hivyo kama unauwezo unaajili vijana au kipindi ya palizi unahakikisha chakula unawapa na hela yao wanahamia shambani ndani ya wiki au mwezi shamba lote safi
my dearSwali langu kwa madam S tafadhali unaweza fahamu bei ya mashamba kwa eka maeneo ambayo katani inaweza limwa, mimi ni wa Tanga ila kazi zangu Arusha hivyo nakosa nafasi ya kuja kutembea mashambani, niliplan kuchukua mashamba Ngomeni ila sasa yamepanda sana bei yaani ilikua laki moja kwa eka ila sasa hivi ni zaidi ya milioni 1 kwa eka, napenda sehemu ambako haivuki laki moja ili nipate eka nyingi zaidi. Ahsante sana
Nitashukuru sanamy dear
kwa sasa hivi sifaham labda nikuulizie then nikupe majibu
Madame S, ahsante sana sikuwa na elimu kubwa sana kwenye sisal, nakushukuru.
Napenda kujua je hawa wakulima wadogo wako organised vipi....? katika ushirika, network or vipi....
mkuu naombaniwe ninakujibu kila nipatapo muda na hata usijal kuhusu kuuliza maswali uliza tu kwa manufaa ya wengineNitashukuru sana
Pia kwa eka unavuna mara ngapi kwa mwaka na unaweza pata kiasi gani cha katani interms of mavuno na kiasi kama utamuuzia mchakata uzi?
Nimejaribu pm nahisi umefunga haiji so nitatumia huu uwanja kwa maswali. Ahsante sana
uwezo wako mkuuMkuu ili upate tija katika hiki kilimo unahitaji uanze na ekari ngapi, na vipi kuhusu kodi za serikali zikoje katika zao hili
Madame S, niko interested nao sana hao waliokuwa ndani ya ushirika, vyama hivi vina changamoto nyingi sana, mimi na wenzangu tunajenga uwezo kwa organised farmers for free nakutumia experts kutoka NL, ila lazima wawe wengi at least wawe member kuanzia 1,000 lakini wakiwa hata robo yake ilihali wanajitambua kwa maana wana enterprenuer mind basi tunaweza kuwa tembelea hasa wakiwa mikoa hii ya morogoro na tanga....Wakulima wadogo wengi wao wako kwenye vyama vyao vya ushirika.Hata hivyo,wako ambao hawako organised.hao wanasimama mmojammoja.Bodi imekuwa ikiwahamasisha kujiunga kwenye ushirika au vyama ili kuwa na nguvu ya kutetea maslahi yao.
yes, na mbolea inayotumika sio hizi tumezoea ni mbolea itokanayo na jani la mkonge baada ya kusindikwa kuchakatwa na kuanikwaJe, katani inahitaji mbolea?
nitakachokusaidia mkuu nikupatie contacts za wahusika then nyie wenyewe mtaorganise pamoja na kujua namna gani mtafanya business pamoja mkuu ikibidi hata mfike tsb muongee nao muweze kukutanishwa na hao wakulima piaMadame S, niko interested nao sana hao waliokuwa ndani ya ushirika, vyama hivi vina changamoto nyingi sana, mimi na wenzangu tunajenga uwezo kwa organised farmers for free nakutumia experts kutoka NL, ila lazima wawe wengi at least wawe member kuanzia 1,000 lakini wakiwa hata robo yake ilihali wanajitambua kwa maana wana enterprenuer mind basi tunaweza kuwa tembelea hasa wakiwa mikoa hii ya morogoro na tanga....
ahsante, nitashukuru ukinipa contacts za wahusika, nitafanya pia kuwaona tsb....nitakachokusaidia mkuu nikupatie contacts za wahusika then nyie wenyewe mtaorganise pamoja na kujua namna gani mtafanya business pamoja mkuu ikibidi hata mfike tsb muongee nao muweze kukutanishwa na hao wakulima pia
Nitashukuru sana
Pia kwa eka unavuna mara ngapi kwa mwaka na unaweza pata kiasi gani cha katani interms of mavuno na kiasi kama utamuuzia mchakata uzi?
Nimejaribu pm nahisi umefunga haiji so nitatumia huu uwanja kwa maswali. Ahsante sana
naomba kazi yako niifanye this week nimebanwa banwa ila nakumbuka nilichokuahidi mkuuahsante, nitashukuru ukinipa contacts za wahusika, nitafanya pia kuwaona tsb....
Nashukuru sana, utanitumia inbox in shaa allahnaomba kazi yako niifanye this week nimebanwa banwa ila nakumbuka nilichokuahidi mkuu
nitafanya hivyo mkuuNashukuru sana, utanitumia inbox in shaa allah
Vipi kuhusu upatikanaji wa machine za kuchakata kupata SISAL FIBRE for export, mpaka uwe na zako au unaweza tumia za wengine ?asante tupo pamoja
na kuna kitu nilitakankusahau kwenye changamoto za mkonge
upatikanji wa mashine za kuchakata mkonge na kifunga hasa kwa wakulim wadogo.
umeme wa uhakika au gharama za dizeli katika kusindika.
tija ndogo ya mkonge kutokana na kutofuata kanuni za kilimo,kodi mbalimbali z halmashauri na mamlaka zingine