Mauzo ya katani yanauzwa kwa tani au kwa kilo?

Mi ningependa kujifunza zaidi naomba iyo connection
 
Aisee hata mimi natafuta sana mashamba ya iyo bei
 
Hao wakulima Wadogo watatakiwa kuwa na TIN
Wawe wanatunza kumbukumbu zao vizuri !
Wawe na EFD machines
Kodi nazani itategemea na kiwango cha mauzo Yao Kwa mwaka!
Wawe na tax invoice books n.k
Failure to that wateja wengine watakuwa wanawakimbia maana nao watatakiwa ku account for Kwenye other places !
 
Uzi murua kabisaa!! Mm nilihamasishwa na jamaa zangu wa shinyanga wao walihamasishwa na watu wa oxfarm, kilimo hiki kimeinua wengi. Kwa sasa nimeshaandaa kitalu cha kutosha eka 20 nasubiri mwezi wa saba nihamishie shambani. Kama na wewe ni mkulima mdogo tuungane, mm niko morogoro
 
Unatarajia kuuza wapi baada ya kuvuna?
 
Mkuu naomba niPM namba yako. Nahitaji kuzungumza nawe. Nina ekari 10 Korogwe nataka nianze hii kitu
 
Mkuu naomba niPM namba yako. Nahitaji kuzungumza nawe. Nina ekari 10 Korogwe nataka nianze hii kitu
Poapoaaa!! Lima mkuu, ni pensheni ya nguvu hiki kilimo!! Masoko yapo mengi tuu, sisal board wanakuunganisha hapa nchini au hata nje ukauza direct kwa dola!! Karibu tuwe wengi.
 
Poapoaaa!! Lima mkuu, ni pensheni ya nguvu hiki kilimo!! Masoko yapo mengi tuu, sisal board wanakuunganisha hapa nchini au hata nje ukauza direct kwa dola!! Karibu tuwe wengi.
Hukunipm mkuu
 
Hivi wadau kwa maeneo ya Kisarawe kilimo hiki kinafaa?
 
Hello madame naweza pata email yako?
 
Mm nahitaji mashamba tafathal yasizid pia lak1 na mjumuisho wa gharama za kupanda tafathal
 
Ungejibu hili swali hili na sisi wengne tujue
 
Ulipata w kuungana nae...? Kama bado mimi npo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…