Mauzo ya katani yanauzwa kwa tani au kwa kilo?

Naomba kujua ukianza kulima ekari zako tatu bila kusajiliwa na bodi tatizo lake ni nini?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Ukisajiliwa na bod faida ni unapata leseni huotolei shilingi yoyote,leseni hio itakuwezesha kutambulika na wadau mbali mbali wa mkonge
 
Ukisajiliwa na bod faida ni unapata leseni huotolei shilingi yoyote,leseni hio itakuwezesha kutambulika na wadau mbali mbali wa mkonge
Habari dear njribu kukuPM lkni inagoma nhtji kukuuliza swali muhimu...nashkuru
 
Tupe mrejesho, vipi umeisha anza kuvuna?
 
Anae hitaji shamba la heka tatu maeneo ya
Tanga(kibaranga)Anitafute kwa namba 0712154330.Kibaramga ni eneo lililoko Mkanyageni kuingia kulia ndani huko kama kilometer 3.5.Bei ni milioni 2.5.Haipungui.
Hiyo bei lina mkonge tayari au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…