Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu Tunaloweka Tu Tunapata Raha DunianiWatu wamegundua hata ukimwi haupo ni chenga tu za mabeberu kama corona, kwa hiyo hamna haja ya kuvaa hayo mabarakoa ya huko chini 🤣🤸🐒
Tumedanganywa sana hata sijui gonorrea, kaswende hamna hivyo vitu...tujilie tu vinono bila kupunguza utamu🐒Watu Tunaloweka Tu Tunapata Raha Duniani
Mambo Ya Kuvaa Mfuko Ni Kujichelewesha
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😀😁😆😆😅😄😃😂😂😁😁😁
Ah sawa tu, ila muulize mleta mada akupe ushuhuda jinsi Arvs zinavyoleta wengeTumedanganywa sana hata sijui gonorrea,kaswende hamna hivyo vitu...tujilie tu vinono bila kupunguza utamu🐒
Na bora iendelee covid-19 ili zinaa ikwishe kabisaKatika biashara yangu ya duka la dawa. Mauzo ya Kondomu yamepungua ghafla kwa miezi miwilo mfululizo. Kwa wastani nilikua nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID 19?
Sijawahi hata kuskia kwa jirani kuwa kuna mtu anaumwa aisee yan hata kuskia sio kuona niskie tuu na watu wanapumuliana bila kuvaa chochote umeishi nayo toka 2019 tungeskia vifo watu wanakufa kama njugu kama WHO ilivyotabiri hii biashara kama biashara zingine mzungu alitengeneza UKIMWI FEKI NA MALARIA mchina katengeneza COVID mnapewa msaada wa dose 28% na 72%.mnanunua ndomana kila mtu anachanjo yale hujiulizi? Mbona chanjo ya pepo punda na polio na small pox ilikua moja? Africa amka kifikraAmbao hamuamini corona ipo poleni, haijampata mmoja wenu kwenye familia ndio maana mmekua na jeuri ya kuongea.
Sijawahi hata kuskia kwa jirani kuwa kuna mtu anaumwa aisee yan hata kuskia sio kuona niskie tuu na watu wanapumuliana bila kuvaa chochote umeishi nayo toka 2019 tungeskia vifo watu wanakufa kama njugu kama WHO ilivyotabiri hii biashara kama biashara zingine mzungu alitengeneza UKIMWI FEKI NA MALARIA mchina katengeneza COVID mnapewa msaada wa dose 28% na 72%.mnanunua ndomana kila mtu anachanjo yale hujiulizi? Mbona chanjo ya pepo punda na polio na small pox ilikua moja? Africa amka kifikra
Ushagapiga ?Punyeto haina haja ya condoms mkuu,
Watz tunajidai tunajidai tunajua kila kituHaya maneno ya waswahili hayana maana yoyote. Kama hujasikia kwa jirani yako basi sio kwa waTanzania wote! Ulitembea nchi nzima ukajiridhisha kwamba hakuna wagonjwa wala waliopoteza maisha!!! Linchi lako halitoi takwimu, so utajuaje corona ipo!!!! Wengine turishaondokewa na wengi tu but tumekausha.
Corona ipo, inauwa fasta kuliko gonjwa lolote.