Mauzo ya Kondomu yamepungua sana

Mauzo ya Kondomu yamepungua sana

Vaeeeeni condom mamayo zenu, ngoma ipo mpaka kwenye nyumba za yesu na mitume wenu haiondoki kwa maombi mbwanyie.
 
Katika biashara yangu ya duka la dawa. Mauzo ya Kondomu yamepungua ghafla kwa miezi miwilo mfululizo. Kwa wastani nilikua nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID 19?
Hata mimi hili nimeliona hilo, manake kwenye pharmacy yangu tangia mwaka jana nilete mzigo wa condom, hata paketi moja haijanunuliwa tafauti na zamani zilikuwa za kugombaniwa hii naona ni ishara tosha kuwa ukimwi umetokomea.
 
Katika biashara yangu ya duka la dawa. Mauzo ya Kondomu yamepungua ghafla kwa miezi miwilo mfululizo. Kwa wastani nilikua nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID-19?
1. Nguvu za kiume zimepungua.
2. Wanawake wanaojiuza wana ndom zao, wanapewa bure mahospitalini.
3. Wanaume wengi wanaangalia PONO na kupiga puli kwahiyo sex si muhimu kwao, hii imongeza kuadimika kwa sabuni "jamaa"
 
Haya maneno ya waswahili hayana maana yoyote. Kama hujasikia kwa jirani yako basi sio kwa waTanzania wote! Ulitembea nchi nzima ukajiridhisha kwamba hakuna wagonjwa wala waliopoteza maisha!!! Linchi lako halitoi takwimu, so utajuaje corona ipo!!!! Wengine turishaondokewa na wengi tu but tumekausha.


Corona ipo, inauwa fasta kuliko gonjwa lolote.
Mwambie aliyezuia takwimu akupe sababu then tuje kujadili hapa
 
Vaeeeeni condom mamayo zenu,ngoma ipo mpaka kwenye nyumba za yesu na mitume wenu haiondoki kwa maombi mbwanyie.
Mkuu kwa mwamposa kila siku shuhuda watu wanapona ukimwi upo nchi gan tukufungulie arise and shine tv na radio?
 
Katika biashara yangu ya duka la dawa. Mauzo ya Kondomu yamepungua ghafla kwa miezi miwilo mfululizo. Kwa wastani nilikua nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID-19?
Tueleweshe wengine ni wageni mjini
Eti hizo kodomu ndo madude gani?
 
Back
Top Bottom