Mauzo ya Kondomu yamepungua sana

Mauzo ya Kondomu yamepungua sana

Acha kupotosha ukoo wetu hakuna aliyeugua wala kuishi na wanakufa na miaka 100+ ni laana ya familia zenu ndo zinapata
Hahahahah kwa vile marehemu anasemwa alikufa kwa BP ndio unahisi kuwa hamna aliyekufa na ngoma kwenu😂???
 
Katika biashara yangu ya duka la dawa. Mauzo ya Kondomu yamepungua ghafla kwa miezi miwili mfululizo. Kwa wastani nilikuwa nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID-19?
Kwa wastani nilikuwa nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID-19?[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2815][emoji2815][emoji2815]
 
Tozo zimeharibu biashara
 
Back
Top Bottom