Katika biashara yangu ya duka la dawa. Mauzo ya Kondomu yamepungua ghafla kwa miezi miwili mfululizo. Kwa wastani nilikuwa nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID-19?
Kwa wastani nilikuwa nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID-19?[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2815][emoji2815][emoji2815]