Mauzo yanavutia lakini kwa faida ya laki 8 na matumizi laki 7 na elfu themanini nimehitimisha najitekenya, nimekubali kipigo till next time

Mauzo yanavutia lakini kwa faida ya laki 8 na matumizi laki 7 na elfu themanini nimehitimisha najitekenya, nimekubali kipigo till next time

Ni sawa but kwa hesabu za kufunga na runnin cost za 9Mil lazim tujaji iyo 600k kos ni kiwango cha kati kweny biashara but tunajua kuna wanaolipa hadi Mil40+ kukod sehem tu za biashara monthly tena ata sio kariakoo ni kigoma uko.
40M kodi ya eneo la biashara monthly tena kigoma, bila shaka haukuwa unazungumzia frame.
 
40M kodi ya eneo la biashara monthly tena kigoma, bila shaka haukuwa unazungumzia frame.
Ndio na namaanisha wawekezaj wa biashara kubwa wapo ila hapa tunamzungumzia invester wa kiwango cha kati ndo maana nikashangaa iyo kodi ya 600k angetoboa vipi.
 
Mi nadhani lengo la Uzi ni kudiscourage biashara na kutetea ajira kuwa ni Bora kuliko biashara,si Kila mtu lazima afanye biashara wengine nyota yenu ni kuajiriwa
 
Acha tabia ya kukimbiakimbia.Akili yako inauwezo mkubwa wa kusolve hiyo issue,kaa, tafakari, leta mikakati ya kupunguza matumizi na MIKAKATI YA KUONGEZA SALES...
Maisha sio mepesi hivyo..hata mishahara haitoshi lkn watu hawaachi kazi - wanapambana na perdiem, wengine wanaiba kabisa..
Pia waza long term plan yako ni ipi..usipigie hesabu za kuuza asubuhi ule jioni..biashara za kimaskini hizo na mawazo pia.
Ukifunga utarudi nyuma hatua 1000 trust me..kaa humo humo utabreak through
 
A. Wastani wa faida kwa mwezi kwenye mauzo - 800,000

B. matumizi -

  • TRA (kwa mwaka) 300,000
  • leseni (kwa mwaka) 120,000
  • frem (laki 5 kwa mwezi) 6,000,000
  • Taka (elf 5 kila mwezi) 60,000
  • Mshahara wa binti (150,000 kila mwezi) 1,800,000
  • chakula na nauli (elf 3 kila siku kasoro j2) 954,000
  • vingine ( umeme, misiba, sabuni, n.k.) 200,000
  • gharama za kununua mzigo na usafiri zimeongezwa kwenye bei ya kujumua

  • Jumla 9,434,000 kwa mwake / 786,000 kwa mwezi

FAIDA YA MWEZI BAADA YA KUTOA MATUMIZI
A - B, 800,000 - 786,000 = 14.000
ELFU KUMI NA NNE

Maamuzi niliyoyachukua ni kufunga duka hasa ukizingatia nao mzigo umeisha, kwa sasa niendelee kutegemea kamshahara ka kodi za wananchi nijidundulize nirudi upya kivingine, maana kinachoendelea ni kujitenkenya.

pia soma:Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu
Mimi sijui hata nikushauri nini kwenye hili andiko lako. Kwa kifupi hili andiko umeandika as if biashara yako imekuwa fixed sana.

Maswali ya muhimu.

1. Kwani kwa eneo ulilopo kwa mwaka mzima huwezi kuuza mali yenye thamani zaidi ya hiyo 3.8? If yes, basi ongeza huo mtaji mara mbili au tatu uanze kula bata.

2.Sometimes hatupata faida kwenye biashara sababu ya aina ya biashara tunazofanya haziendani na mitaji yetu.
Assume ungeukuwa na mil24 kwa hiyo bishara bado ungepata hasara?
3. Wataongezea wafanya biashara wengine
 
Frame inakukaba,
Ukishajua wapi pesa zinavuja tafuta ufumbuzi sio kukimbia.

Nini cha kufanya.
Unatakiwa uangalie ni kwa namna gani unaweza kukuza mauzo, hapo ndio kazi kubwa ipo.

Kingine unapoanzisha biashara kama haijasimama mpaka kufikia kwenye peak, jitahidi kutotumia pesa unazoita faida kwa kipindi fulani ili biashara iendelee kukua na kujikuza zaidi.
Ufumbuzi ni hiyo frem na location yake, akiikimbia hiyo location means anawakimbia wateja na gharama za pango la frem lakini gharama nyingingine za kodi, vibali nk zitabaki palepale
 
A. Wastani wa faida kwa mwezi kwenye mauzo - 800,000

B. matumizi -

  • TRA (kwa mwaka) 300,000
  • leseni (kwa mwaka) 120,000
  • frem (laki 5 kwa mwezi) 6,000,000
  • Taka (elf 5 kila mwezi) 60,000
  • Mshahara wa binti (150,000 kila mwezi) 1,800,000
  • chakula na nauli (elf 3 kila siku kasoro j2) 954,000
  • vingine ( umeme, misiba, sabuni, n.k.) 200,000
  • gharama za kununua mzigo na usafiri zimeongezwa kwenye bei ya kujumua

  • Jumla 9,434,000 kwa mwake / 786,000 kwa mwezi

FAIDA YA MWEZI BAADA YA KUTOA MATUMIZI
A - B, 800,000 - 786,000 = 14.000
ELFU KUMI NA NNE

Maamuzi niliyoyachukua ni kufunga duka hasa ukizingatia nao mzigo umeisha, kwa sasa niendelee kutegemea kamshahara ka kodi za wananchi nijidundulize nirudi upya kivingine, maana kinachoendelea ni kujitenkenya.

pia soma:Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu
Hapo ndo utagundua umuhumu wa kuwa bahili na mbunifu
 
Mkuu me naona changamoto kubwa hapo iko kwa binti, coz yeye umemuajiri, anafanya kazi kama muajiriwa, Biashara yoyote inahitaji commitment ya hali ya juu.... Watu wengi wanaofanya kazi wakianzisha biashara zinakufa,
Sababu kuu ni usimamizi mbovu, unaweza ukamuweka kijana dukani akawa haibi kabisa, ila changamoto ikawa ni namna anavofanya kazi

Hizi biashara ukiweka mabinti wengi wao wanaenda kuchat tuu na kusubiri wateja waje, hana wasiwasi hata, wala hana ubunifu wowote ule ili kuongeza mauzo,

Ukitaka kufanya biashara ingia frontline mwenyewe. Achana na Ajira yako uingie mazima hapo ndo utaweza kuona faida ya biashara
Nyoooooo!!!! mtoa mada asijichabganye kufata hii
 
Kaa na mwenye frem muonyeshe hiyo calculation afu muyajenge afu usijipendekeze Sana Tra
 
A. Wastani wa faida kwa mwezi kwenye mauzo - 800,000

B. matumizi -

  • TRA (kwa mwaka) 300,000
  • leseni (kwa mwaka) 120,000
  • frem (laki 5 kwa mwezi) 6,000,000
  • Taka (elf 5 kila mwezi) 60,000
  • Mshahara wa binti (150,000 kila mwezi) 1,800,000
  • chakula na nauli (elf 3 kila siku kasoro j2) 954,000
  • vingine ( umeme, misiba, sabuni, n.k.) 200,000
  • gharama za kununua mzigo na usafiri zimeongezwa kwenye bei ya kujumua

  • Jumla 9,434,000 kwa mwake / 786,000 kwa mwezi

FAIDA YA MWEZI BAADA YA KUTOA MATUMIZI
A - B, 800,000 - 786,000 = 14.000
ELFU KUMI NA NNE

Maamuzi niliyoyachukua ni kufunga duka hasa ukizingatia nao mzigo umeisha, kwa sasa niendelee kutegemea kamshahara ka kodi za wananchi nijidundulize nirudi upya kivingine, maana kinachoendelea ni kujitenkenya.

pia soma:Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu
Kodi unakadiriwa au unajikadiria? Unatunza hesabu? Au unawaachia tra wakukadirie?
 
Back
Top Bottom