Mavazi na kofia zenye nembo ya Diamond

Prof Jay kuna kipindi alitupigia kelele nimefungua saloon ( zaidi ya miaka 15 kwenye industry) anakuja na story ya saloon
Ommy Dimpoz naye sijui t-shirts na kofia
Huyu naye huko huko

Bora niendelee kumuelewa Jay Dee,akitoa t-shirts ujue ni vuguvugu la muda la tukio fulani na sio mradi wa kuukalia chini kama hawa pimbi wengine
 
Mbona sioni huyo Hemedy anapofaulu?Mziki umemshinda,muvi anajikongoja japo anapata hela ya kula tu.Au kujiremba + swaga za kishoga ndo kufaulu?

watu kwa kusiliba wenzenu, mmejikoki vya kutosha....hicho kidogo kinamridhisha alimladi hajabanana kugombea kile kidogo unachodowea!!
 
Kuna jamaa humu anamfeel hemed sijapata onaa
 
hahahaha! eti "tuli',,,na wewe unapangilia na diamond mipango yake..wewe si ulisema hapa haitokaa itokee penny na domo kuachana coz soon wataoana?? ukaingia hadi chumbani kuwapiga picha, we lazma utakuwa tikitiki maji c bure

Ok moja ya kaz yangu pale ni graphics designer,ingia kwenye plofile yangu ya
insta ( @ kifesi)utaziona info na kaz zote ninazozifanya na
Nimesema tuli coz me ndiye nadesign artworks zake ,na ndiye ninadesign na
hizo logo za tshirt..tumeshirikiana pamoja kimawazo ni vip artwork iwe ,so nimekosea nin kusema kwa umoja?
 
Usijari,tulia kama unanyolewa..leo ndiyo nimemaliza kudesign logo ..zitumwe na mzigo uprintiwe
so soon utafuta usemi wako..
 
Poa usiache kunambia mapema zisije kuisha....mi mwenyewe team wasafi.

Usijali,logo nimemalizia kudesign leo..so soon Evelyn Salt
ila zitakazotoka sasa ni tshirt za kiume..kwa baadae ataanza kutoa na za kike,uzuri wadada hata mkitupia za kiume mnatoklezea tu,haswa ukiwa mrembo.
 
Last edited by a moderator:
Humuogopi shemeji yetu kukuona umemvaa mwanaume mwenzie aku!mie raisi w@teamsexy

Kumvaa mwanaume mwenzie kivipi sasa??
kwani tumesema itaprintiwa picha yake or jina lake??
ni WCB,WCB WASAFI,WASAFI CLASSIC zitakuwa tofaut tofauti,ni wewe unavyopenda,zitaendana na kofia(kama tshirt na kofia za DOPE etc)
 

aya bob,,,,,,,unaikumbuka hii comment yako lakini?????

 

Mbona ulisema ni wachina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…