strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Watu wa kukatisha watu tamaa kwa juhud wanazofanya huwa mpo katika jamii yoyote
mapaka hapo ulipo watazania umewatengenezea nn Cha maana ?
ama ulitaka hayo maandish yawe wanawaka taa
Siwezi kuvaa nguo Yenye neno baby hata siku moja,mtazivaa nyie wavaa supra na visuruali vimodo vya rangi rangi..
Ucjali ndio maana nikasema zipo dizain nying tofauti
siyo maandish hayo tu.(kuna WCB,KUNA WASAFI CLASSIC,KUNA WCB FOR LIFE ETC) .ni chaguo lako tu
labda unalo lingine la kusema
Watu wa kukatisha watu tamaa kwa juhud wanazofanya huwa mpo katika jamii yoyote
mapaka hapo ulipo watazania umewatengenezea nn Cha maana ?
ama ulitaka hayo maandish yawe wanawaka taa