Mavazi na kofia zenye nembo ya Diamond

Mavazi na kofia zenye nembo ya Diamond

Mbona sioni huyo Hemedy anapofaulu?Mziki umemshinda,muvi anajikongoja japo anapata hela ya kula tu.Au kujiremba + swaga za kishoga ndo kufaulu?

mainstream zisikudanganye...au unataka naye apaishwe kama marehemu kanumba ana magari tisa sijui nyumba nne!ikaja kugundulika si kweli alikuwa amepanga tu!!!!PHD anaishi maisha yake yasiyo na stress wala yaliyojaa uongo uongo wa media
 
Ni project aliyoipanga siku nyingi kuandaa tshirts na kofia maalumu kwa mashabiki zake. Ilikuwa zitoke mwishoni mwa mwaka 2013 lakini Diamond ni mtu asiyependa kuharakisha mambo, na anapenda afanye kitu chenye ubora unaotakiwa yupo radhi project yake, iwe wimbo ama chochote kichukue hata miezi ilimradi mwisho wa siku ipatikane product nzuri.

Kipindi ameenda china alitoa oder but logo waliprint tofauti na tulivyokuwa tumepangilia, hakuzipenda, alizikataa na kukubali hasara ya million kadhaa
na sasa anaandaa upya.

Soon zitakuwa mtaani.

sijajua kuhusu apo kwenye oda..ila kwa bidhaa ya nguo ukitoa oda ndefu china lazma uandaliwe sample...then upewe uiangalie ukiridhia wanatengeneza ur order..wachina wako very very good kwenye ku paste
 
wcb clothing line teaser    artwok @kifesi.jpg
Awali niliwataarifu kuhusu Diamond kuja na mavazi yake, tshirts na kofia vikiwa na nembo ya wasafi classic.

Hatua ya utengenezaji wa logo ishakamilika (logo zimedizainiwa na kifesi aka H.O.D) na mzigo utakuwa out ndani ya hizi siku mbili..

FANS WOTE WA DIAMOND NA WASAFI CLASSIC MKAE TAYARI KWA CLOTHING LINE YA UKWELI

Ahsanteni.
 
Mkuu,hivi mwanaume rijali na timamu unajiitaje kifesi na kujipromoti??!! Kuna kina Kidoti,kidawa,kitumbua,Kichuchu etc tunaelewa kujiita hivyo kwani wanawake,wewe je??!! Au una udugu na kina Mpole sana na Boflo?? Grow up mazafanta!!

Kwenye post yako,rekebisha heading!!
 
View attachment 138354
Awali niliwataalifu kuhusu Diamond kuja na mavazi
yake,tshirts na kofia vikiwa na nembo ya wasafi classic.

Hatua ya utengenezaji
wa logo ishakamilika (logo zimedizainiwa na kifesi aka H.O.D)
na mzigo utakuwa out ndani ya hizi siku mbili..
FANS WOTE WA DIAMOND NA WASAFI CLASSIC
MKAE TAYARI KWA CLOTHING LINE YA UKWELI
Ahsanteni.

Waiting for that!!
 
Mkuu,hivi mwanaume rijali na timamu unajiitaje kifesi na kujipromoti??!! Kuna kina Kidoti,kidawa,kitumbua,Kichuchu etc tunaelewa kujiita hivyo kwani wanawake,wewe je??!! Au una udugu na kina Mpole sana na Boflo?? Grow up mazafanta!!

Kwenye post yako,rekebisha heading!!

kiboga
 
aya bob,,,,,,,unaikumbuka hii comment yako lakini?????

Haahaahaaa mkuu seriously u made ma dei nakudai mbavu zangu ujue maana umemkalia kooni kijana WCB mpk umemkumbusha comment yake ya Penny kuonyesha kua inawezekana hata kwny t-shirt anaweza akafeli maana Diamond hamuhusishi dzain diiiiih alimponda sana Wema cha wote leo hii bosi wake kavuta hand break hapo2 kwa mchafu ngoja Wema uaone ule uzi ss.
 
wasafi clothing line sampo-.jpg
Hii ni moja ya tshirt zitakazotoka,siyo dizain hii zipo dizain tofauti tofaut(WCB,WASAFI CLASSIC,WCB FOR LIFE etc) na fonts tofaut tofaut
zikiwa na langi tofaut ,ikiwemo nyeusi,red white ni chaguo lako. Once again i feel proud kuona matunda ya kaz mikono yangu(kudizain logo)

More update zitakuja,lin zinatoka na waip utazipata na gharama

NB:Zikiwa tayari,yeyote atakaehitaj kufaham namna ya kuzipata pamoja na order namba zangu zipo wazi
0762052850
 
Hayo maandishi tu ndio yamewekwa na wachina na ulivyosifiaa mi akili yangu ilifikiria mbali kweli,haya nisiseme sana hongeraa
 
aya bob,,,,,,,unaikumbuka hii comment yako lakini?????

Unajua mchizi dizaini kajisahau na amesahau pale kazi iliyompeleka ni nini.Umepewa kazi ya kuwa logo designer na kuwa mpiga picha,ila matokeo yake unaingilia mpaka mambo ya ndani ya bosi wako..Unatakatukuelewe vipi?
Ukamponda wema kwa kila neno,leo hii nosi wako ndio anapunguzia ngale zake pale ili apate akili ya kusaka pesa akulipe wewe,sijui unajisikiaje now...
Wawili wakigombana,shika jembe ukalime.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Hayo maandishi tu ndio yamewekwa na wachina na ulivyosifiaa mi akili yangu ilifikiria mbali kweli,haya nisiseme sana hongeraa

Watu wa kukatisha watu tamaa kwa juhud wanazofanya huwa mpo katika jamii yoyote
mapaka hapo ulipo watazania umewatengenezea nn Cha maana ?
ama ulitaka hayo maandish yawe wanawaka taa
 
Back
Top Bottom